Washawasha la Uganda

Mimi nikitafakari hivi vitu ndo naamini waafrika tumelaaniwa, sisi kwa sisi hatupendani harafu tukibaguliwa ulaya tunaanza kulalamika.
 
Kwanini hiz washa washa hununuliwa kipindi cha uchaguzi tu?
 
Yaani hilo mwaga zege ukishakula kipondo unafukiwa na zege kabisa kupoteza ushahidi teh teh teh!. Naota tu!.
 
nchi za kiafrika zinafanana bongo lala za viongoz,..
hospital watu wanazalia chini mtu linaenda kununua washawasha
hii ni kutojiamini kwa viongoz kwasababu ya wizi wa mali za wananchi husika
mtu anasema akipita flani jp mindontalala usingizi hii ni kwasababu ya uwizi wa mafisiem maizi kwelikweli
 
Labda Uganda wanaweza kufuata nyayo za Kenya
 
Mimi nikitafakari hivi vitu ndo naamini waafrika tumelaaniwa, sisi kwa sisi hatupendani harafu tukibaguliwa ulaya tunaanza kulalamika.
Inatakiwa tuache kulalamika pindi wazungu wanapotubagua Kwa maana sisi wenyewe ni namba 1 Kwa ubaguzi,tena ubaguzi wa wazungu unanafuu wa kwetu ni wa kuumizana na kuuana
 
Yani hayo magari ni kwa ajili ya kugombana na watu wanaobisha kuwa Museveni kapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…