Washarika wamkataa Sitta kanisani


Mwenye dhambi ili arudi Kundi unajua anatakiwa kufanya nini?
Mpe ujumbe Msanii wenu Sita ,mzee wa kuhesabu hadi Marehemu kama wapiga kura unadhani huyo Mungu ni wakuchezwa kiasi hicho.

 
Hapana! Tusifike huko. Hata wewe unaweza kukosea kuhesabu kura popote pale. Mf. Kuna wakati hata kanisani tunakosea kuhesabu kura kwa sababu ya kujichanganya. Sasa ukimlaumu Sita ni tatizo lako ndg.
 
Hivi ni muumini wa dini ipi au ukriso upi?
 
Hata shetani hamtaki huyo sitta! Ameshamtenga.
 
Sitta aweza kuwa na matatizo yake lakini nadhani wewe ni mwongo.Bunge MK limekamilisha kazi yake baada ya kukabidhi Katiba pendekezwakwa Mhe. Rais hapo tar8Okt2014, Sitta ni Mkristo ambapo siku ya ibada ya jumla kwa Wakristo ni Jumapili. Sasa tangia tar8Okt2014 bado haijapita Jumapili hata moja na ukichukulia kuahirishwa BMK tar4Okt2014 basi imepita Jumapili moja tu. Lkn maelezo yako ni kana kwamba huyo Sitta ana zaidi ya Jumapili moja hajaenda Kanisani kutokana na sababu hiyo uloitoa. Huo nashawishika kuona kuwa ni uzushi.
 
Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.

Mbona Dodoma kuna unaitwa wa warangi? ina maana wasio warangi hawaruhusiwi kusali msikiti huo?
 
Haa haa sitta asamehewe, kwa ni mil. 150 za posho zilikuwa zinamsumbua.
 

Ukiona unafanya dhambi au jambo lolote baya bila kipingamizi wala taabu jua kuwa mauti kwako yamekaribia...!
 
Kanisa lenyewe analo sali sita ni lawachumia tumbo/watoza ushuru,hawana jeuli hiyo,si mmeona leo wale watoza ushuru wa vikanisa vya mfukoni na wale waganga njaa wa Bakwata walikusanywa na maccm uwanja wa Taifa eti kucheza mpira.
 
Kanisa lenyewe analo sali sita ni lawachumia tumbo/watoza ushuru,hawana jeuli hiyo,si mmeona leo wale watoza ushuru wa vikanisa vya mfukoni na wale waganga njaa wa Bakwata walikusanywa na maccm uwanja wa Taifa eti kucheza mpira.

Linaitwaje hilo kanisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…