Washa taa mchana

2

  • 1

    Votes: 0 0.0%
  • 2

    Votes: 0 0.0%
  • 3

    Votes: 1 50.0%
  • 4

    Votes: 1 50.0%

  • Total voters
    2
  • Poll closed .

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,237
Reaction score
4,347
Inapendeza sana kuwa na vijana wabunifu kwenye taifa hili.mfano ni kada wa chama mojawapo cha siasa aliyeweza kuja na falsafa mpaya na yenye mvuto kwa jamii ambayo ni 'washaa taa mchana'. Inashangaza mpaka sasa hakuna hata kiongozi wa ngazi ya juu aliyeweza kutumia huu masmiati mpya ambao kwa kifupi tu ni kuwataka watanzania waweze kutambua haki zao za msingi.
 

huna lolote lile wewe ni mgombea uwenyekiti wa vijana taifa na umedhaminiwa na shibuda, natunakuhakikishia hushidi hata kura 10 hupati, tutakuonyesha game.
 
Inashangaza kuwa pamoja na kuwepo ubunifu wa hali ya juu kutoka kwa kada wa chama cha siasa kuanzisha uhamisishaji wa 'washaa taa mchana' hakuna hata kiongozi aliweweza kutumia huu msemo kwa ajili ya kuwaelimisha watanzia juu ya umuhimi wa kutambua haki zao kama watanzania ili kuenzi na kutambua mchango wa wabunifu kama hawa.
 
This poll will close on 28th April 2011 at 09:25 AM Be advised that this is a public poll: other users can see the choice(s) you selected.

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4

View Poll Results


Sasa poll ya nini?

washa taa mchana ndo nini?


Haina hata mahudhui
 

Huu ni ubunifu mzuri lakini binafsi nimepata taarifa kuwa,vijana waliozindua hii wanagombea nafasi za uongozi za vijana kwenye chama. Kwangu mimi,kama hii ni kweli basi ni rushwa kwa watakaopiga kura.Lakini kama si kweli nawapongeza sana sana kwani akili za namna hii ndo tunazitafuta Tanzania.Na hakika wanahitaji kupata support.
 
Hujaeleweka unazungumzia nini na 1,2,3 4 zinawakilisha nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…