Washa Blender

Washa Blender

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,036
Reaction score
168,674
WASHA BRENDER
Siku ya kwanza
MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?.
MKE: Salama tu
MUME: Uko wapi?
MKE: Jamani si niko nyumbani
MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa brender nisikie.....mke akawasha brender
MKE: Umesikia?
MUME: Okay haya mi natoka kazini naja
Siku ya pili
MUME: Vipi mko salama huko?
MKE: Tupo kama ulivyotuacha
MUME: kwani uko wapi?
MKE: Niko nyumbani napika
MUME: Washa brender kama kweli uko nyumbani
Mke akawasha brender
MKE: Umesikia?
MUME: Poa ntarudi baada ya masaa mawili
Siku sita baadae mume akaamua kurudi bila kumtaarifu mkewe alipofika home kamkuta mdada wa kazi yuko peke yake.
MUME: We mama yako yuko wapi?
MDADA: Sijui ameondoka na brender toka asubuhi
 
kaka stevoh yale maombi yaananza kufanya kazi kwani kila niliyemsogeza kwenye goti ameshaanza kuchizika ona huyu sasa na style yake ya kuja hapa mjengoni ameanza kuiacha imani huyu acha nimrejeze kwa upya tena labda atapona

Last edited by a moderator:
Wanaume wa hivyo ndio ambao mali zao huliwa kirahisiiii...hata kibogoyo huweza kujitafunia
 
mie alikuwa ananiambia nilize masufuria na vijiko khaaa wanaume wengine bana
 
kaka stevoh yale maombi yaananza kufanya kazi kwani kila niliyemsogeza kwenye goti ameshaanza kuchizika ona huyu sasa na style yake ya kuja hapa mjengoni ameanza kuiacha imani huyu acha nimrejeze kwa upya tena labda atapona

itabid tumfanyie special maombi maana...
 
Last edited by a moderator:
ahaa!ahaa!ahaaa!ahaa kumbe blender inawashiwa kitandani!
 
WASHA BRENDER
Siku ya kwanza
MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?.
MKE: Salama tu
MUME: Uko wapi?
MKE: Jamani si niko nyumbani
MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa brender nisikie.....mke akawasha brender
MKE: Umesikia?
MUME: Okay haya mi natoka kazini naja
Siku ya pili
MUME: Vipi mko salama huko?
MKE: Tupo kama ulivyotuacha
MUME: kwani uko wapi?
MKE: Niko nyumbani napika
MUME: Washa brender kama kweli uko nyumbani
Mke akawasha brender
MKE: Umesikia?
MUME: Poa ntarudi baada ya masaa mawili
Siku sita baadae mume akaamua kurudi bila kumtaarifu mkewe alipofika home kamkuta mdada wa kazi yuko peke yake.
MUME: We mama yako yuko wapi?
MDADA: Sijui ameondoka na brender toka asubuhi
hizo zipo....jirani yangu humwambia mkewe......agongegonge geti......akishagonga anaomba mtu aongee naye hasa watoto.......naniii ongea na baba....
 
Back
Top Bottom