Wasanii wasiofosi mambo

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,710
Reaction score
3,394
Mboso Khan mshedede
Chino
Mario
King Kiba
Jay Melody
Recently kwa mtizamo wangu Kazi zinawabeba....Hongera kwa simba ila nguvu anayotumia ni kubwa mno sii kitu kibaya as zinampush International...hao niliowataja wakitoa ngoma kama ni nzr inaenda bila kiki
.....
 
Upo sahihi kbsa mkuu, wasanii uliowataja hawana mbwembwe nyingi kazi zao ndo ziwanabeba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…