Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,650
Hapana, wanajikuta tu wameimba.Unahis wanaimba kwa matakwa yao?
Wewe unayezijua hizo nyimbo hebu zitaje!!Una uhakika kwamba hata Awamu ya JK hakuna Wasanii ambao waliwahi Kumuimba hadi Kumfagilia katika Nyimbo zao? Tafuta Albums za Bendi za Tam Tam iliyokuwa chini yake Muumini Mwijuma, Bendi ya TOT, Akudo Impact, Twanga Pepeta na Wasanii wa Kufokafoka wa hii Miziki yenu ya akina Juma Nature, Kala Pina na wengineo kisha rudi hapa utupe mrejesho. Muwe mnafanya utafiti kabla ya Kukurupuka na Lawama zenu.
Usiongelee kutajwa kwenye wimbo mtoa mada anaongelea wimbo mzima atungiwe yeye asifiwe km huyu wa sasa!Una uhakika kwamba hata Awamu ya JK hakuna Wasanii ambao waliwahi Kumuimba hadi Kumfagilia katika Nyimbo zao? Tafuta Albums za Bendi za Tam Tam iliyokuwa chini yake Muumini Mwijuma, Bendi ya TOT, Akudo Impact, Twanga Pepeta na Wasanii wa Kufokafoka wa hii Miziki yenu ya akina Juma Nature, Kala Pina na wengineo kisha rudi hapa utupe mrejesho. Muwe mnafanya utafiti kabla ya Kukurupuka na Lawama zenu.