Wasanii wamtolea povu zito ShamsaFord baada ya kuambiwa hawamfikii kwa uzuri Irene Uwoya

Japo sipendi Bongo movie hata kidogo ila mwanamke mzuri zaidi kwao ni Batuli na hana mpinzani.
 
Shamsha ni mzuri kuliko Irene, katika bongo movie wanawake wazuri wasio na wapinzani ni Batuli, Jack Wolper, ila Batuli ni kiboko ya wote.
 
Mbona hata wewe ni mzuri maana hiyo miguu imenichanganya kabisa ila kama ni yakwako maana watu wahumu ni waongo waongo
 
Back
Top Bottom