Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Alipata nusu billioni kahonga zote,saiv ni mtangazaji wa redio analipwa lakitano per monthCelebrity so far ambaye ni tajiri in future kama akitaka na idriss. Anachotakiwa kufanya aanze suth africa akamuone Noah, then amtafute Chriss Tucker Holywood. Akope hata pesa hata mimi nitamchangia dola mia ya nauli akitaka kwenda USA Hollywood.
Celebrity so far ambaye ni tajiri in future kama akitaka na idriss. Anachotakiwa kufanya aanze suth africa akamuone Noah, then amtafute Chriss Tucker Holywood. Akope hata pesa hata mimi nitamchangia dola mia ya nauli akitaka kwenda USA Hollywood.
Utajiri wa msanii huletwa na mashabiki wake kununua au kulipia kazi zake. Kadiri unavyokuwa nao wengi na utajiri obvious utaongezeka. Sasa huku kwetu watu wanataka vya bure. Wewe uimbe au ucheze sinema washabiki wasikilize au luangalia kazi zako kwa ubwete. Wasanii nao hawaangalii soko lao kidunia wanalewa na misifa ya nyumbani.
Je nawewe unasupport kazi zao unanunua movie zao wakitoa unaenda kwenye show zao
Bongo wapo wasanii wengi wenye pesa mfano Ali Kiba, Ney Wa Mitego au Wema Sepetu lakini hawapendagi show kama Will Smith.
Natamani kuona na sisi tunakua na wasanii hata watano tu kutoka Tollywood na BongoMusic watakao tusumbua kwa mali zao walizochuma kwenye sanaa yao, Ila najiuliza tutafika lini level hizi za kumiliki mpaka private jet?? Dah sipati picha alikiba ndani ya private Boat yake na Diamond ndani ya private jet yake
BTW, Mtazame Will Smith hapa Unaweza Ukalia..