Wasanii Wa Bongo Mtafika Lini Level Hizi? Tazama Utajiri, Mali Na Maisha Ya Billionea "WILL SMITH"

Traveller X

JF-Expert Member
May 2, 2017
271
305
Natamani kuona na sisi tunakua na wasanii hata watano tu kutoka Tollywood na BongoMusic watakao tusumbua kwa mali zao walizochuma kwenye sanaa yao, Ila najiuliza tutafika lini level hizi za kumiliki mpaka private jet?? Dah sipati picha alikiba ndani ya private Boat yake na Diamond ndani ya private jet yake:D:D

BTW, Mtazame Will Smith hapa Unaweza Ukalia..
 
Celebrity so far ambaye ni tajiri in future kama akitaka na idriss. Anachotakiwa kufanya aanze suth africa akamuone Noah, then amtafute Chriss Tucker Holywood. Akope hata pesa hata mimi nitamchangia dola mia ya nauli akitaka kwenda USA Hollywood.
 
Utajiri wa msanii huletwa na mashabiki wake kununua au kulipia kazi zake. Kadiri unavyokuwa nao wengi na utajiri obvious utaongezeka. Sasa huku kwetu watu wanataka vya bure. Wewe uimbe au ucheze sinema washabiki wasikilize au luangalia kazi zako kwa ubwete. Wasanii nao hawaangalii soko lao kidunia wanalewa na misifa ya nyumbani.
 
Alipata nusu billioni kahonga zote,saiv ni mtangazaji wa redio analipwa lakitano per month
 
Celebrity so far ambaye ni tajiri in future kama akitaka na idriss. Anachotakiwa kufanya aanze suth africa akamuone Noah, then amtafute Chriss Tucker Holywood. Akope hata pesa hata mimi nitamchangia dola mia ya nauli akitaka kwenda USA Hollywood.

mhh, akati kilakitu anacopy trevo noah, anatakiwa awe mbunifu kwanza
 
Utajiri wa msanii huletwa na mashabiki wake kununua au kulipia kazi zake. Kadiri unavyokuwa nao wengi na utajiri obvious utaongezeka. Sasa huku kwetu watu wanataka vya bure. Wewe uimbe au ucheze sinema washabiki wasikilize au luangalia kazi zako kwa ubwete. Wasanii nao hawaangalii soko lao kidunia wanalewa na misifa ya nyumbani.

FACT
 
Bongo wapo wasanii wengi wenye pesa mfano Ali Kiba, Ney Wa Mitego au Wema Sepetu lakini hawapendagi show kama Will Smith.

mhh, hao wote uliowataja wana hela za kula tu sio hela za kujiita matajiri
 
hatufiki ng'o sana sana Yono watakuja wapige mnada au upokonywe viwe mali ya serikali
 
Natamani kuona na sisi tunakua na wasanii hata watano tu kutoka Tollywood na BongoMusic watakao tusumbua kwa mali zao walizochuma kwenye sanaa yao, Ila najiuliza tutafika lini level hizi za kumiliki mpaka private jet?? Dah sipati picha alikiba ndani ya private Boat yake na Diamond ndani ya private jet yake:D:D

BTW, Mtazame Will Smith hapa Unaweza Ukalia..

Wateja wao wenyewe ni sisi ambao kutwa kuwatukana badala ya kununua kazi zao.

Sasa unategemea wafikeje huko?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom