Wasanii Wa bongo movies tu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,665
Reaction score
17,139
Achananeni na vipaji nendeni mkasomee kazi yenu. Kipaji kitakufanya upatie kidogo na kukosea sana kwenye kazi.

Tamthilia za waphilipino na wahindi kwenye luninga zetu zinatofautisha vipaji vyenu na taaluma yao kwenye uigizani.

Bora tuwe na wasanii wachache wenye taaluma kuliko wasanii wengi wanaobahatisha.
 
Bongo muvi hawahawa wanaoangusha Nazi chini ya muembe???? Anyway samekuelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…