Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

Kwa ajali tu zilotokea mwaka huu ...madaktari wameokoa roho za wangapi nchi hii, kwa magonjwa magumu kama cancer na mengine, achana na operation unajua ni kazi ngumu kiasi gani ?????

Mwalimu anae tumia muda mwingi kufundisha, uku akifanya kazi kwenye mazingira magumu ili tu watoto wetu waelewe, amefaidika na nn????
Pamoja na sector zingine za kufanya kwa kujitoa.. Kwann ajaanza na hao angalau kutambua michango yao...

Leo wanapongezwa waigizaji wanao igiza uasilia wa nje na wengine ata kufungiwa kwa kutia aibu!!!!!!????????

Nchi haiendeshwi kama Kama unavyotaka wewe.rais ana ratiba ya nini cha kufanya na kwa wakati gani. Sasa hizi akili zenu Kama watu waliochaganganyikiwa za kujifanya mna uchungu sana na wananchi ni unafiki uliopitiliza. Mnajifanya mna uchungu Mbowe anapiga pesa kama kawaida
 
Mi Nahsi Mtoa Mada Hufuatiliagi Hata Vyombo Vya Habari Fid Q Alisema" Wasanii Wanamuandalia Party Ya Kumuaga Kikwete Na Kumkaribisha Magufuli" Na Sio Unavodai Eti Kikwete Ndo Kaandaa Source Cloudsfm Kipindi Xxl

Kampeni zimeanza
 
Hivi nyinyi mnaobeza mnajitmbua kweli. Acheni kuongea utumbo. Kwani mamvi kazuwia kuwaalika.

Msikalili mambo. Mnaacha kujipanga mchukuwe nchi km mnavyojidanganya mnakazi ya kuangalia wanaume wanafanya nini. Keep it Jk we are on u are back.
 
Binafsi sijaona kosa la wasanii kumuaga Jk..

Hiyo Hafla ingefanywa na nchi za ulaya tungesifia na kuona ni mshikamano na upendo.

Leo hii..imefanyika bongo, tunaona ni upunguani...ifike mahala sasa tuache unafiki na chuki..
 
Nchi haiendeshwi kama Kama unavyotaka wewe.rais ana ratiba ya nini cha kufanya na kwa wakati gani. Sasa hizi akili zenu Kama watu waliochaganganyikiwa za kujifanya mna uchungu sana na wananchi ni unafiki uliopitiliza. Mnajifanya mna uchungu Mbowe anapiga pesa kama kawaida

Mnangangana kujifanya mnajua sana mpaka mnatia vinyaa.... Usikute mwenyewe maisha yamekuchakazaaa... Ila kwakua una maaba na ccm utaendelea kuburuzwa peke yako....
 
Sasa mnaposema msinunue kazi zao ni ufinyu wa kufikiri siyo kila mtu ana mapenzi au ushabiki kwenye chama unachokipenda wewe kl mtu ana haki na maamuzi yake mradi havunji sheria
 
Haiwezekani kila mtanzania akawa ni ukawa au ccm hapo hakuna upinzani ni kujidanganya
 
Naona wasanii wetu wanapenda kuuza sura na mnuso .. wameitwa kwenye Tamasha linalowahusu hawakutokea ..Kwenda mlimani City wamekuwa wakwanza

Bado wanapiga makelele kazi za wasanii zinaibiwa ooh tunanyanyaswa nani anawanyanyasa kama sio wenyewe mnajinyanyasa...

Hii ni zaidi ya hatari
 
Shirikisho la wasanii Tanzania jana walikuwa wanamuaga Rais Kikwete na kumshukuru kwa yote aliyowasaidia katika tasnia ya filamu na muziki hapa nchi, kwa hilo sina tatizo nao, cha ajabu ni kitendo chao cha kumpongeza Magufuri kwa kuteuliwa na CCM kuwa mgombea Urais.

Swali: Ina maana wasanii wote ni wafuasi wa CCM? Kama sivyo kwa nini wanatumia mwavuli wa Shirikisho kujikomba kwa mgombea wakati kuna vyama kibao vimeshateuwa wagombea URAIS na wameamua kumpongeza Magufuri peke yake?

Acheni kujitoa UFAHAMU KWA MAMBO MADOGO MADOGO KWA KUPEWA VIJI-SAMBUZA NA VI-BIA AMBAVYO UNAWEZA KUJINUNUA WEWE MWENYEWE pshuuu.
 
Walienda mbali ziadi kwa kuweka ka clip ka katapila kisha wakasema muziki huu mtauweza??? Nilishangaa sana kwa ka clip hako feki na ka kizushi!!!

Swali nililojiuliza, sasa kama wasanii watakuwa na maoni finyu kama haya kuna hatari watu wakasusia hata kununua kazi zao.
 
Back
Top Bottom