Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

Wasani wengi ni shuleless so njia yao ya kuishi ni kwa kujipendekeza....

Ni kweli mkuu nakuunga mkono kwa hili ndio maana hata kazi zao zinaibiwa wanashindwa kutatua changamoto hiyo.wapo kama watu ambao hawana uhakika wa kuishi in the future,hawajiamini kabisa.ukitaka kuamini hili angalia picha hiyo ya wema,jk na steve nyerere.steve nyerere anaonekana kama hana confidence kabisa.
 
Cdm imejaa watu wanafiki sana kama huyu mleta maada!! Wivu wa nini sasa!? Unataka ualikwe wewe!? Unataka ushikwe wewe mikono ndo uridhike!? Siasa za kijingajinga hizi mziache! Wangekuwa wameitwa na Lowassa ungekuja mbio mbio na uzi hapa!?

Ni watu wazima, wanaakili timamu, mambo ya kuwachugulia cha kufanya ni upuuzi
 
Wasanii wengi shule hamna kwahiyo sioni ajabu...wengi hawajafika hata form four, wachache waliofika wametoka na yai!!!
 
hizi thread za frustration,tulizishuhudia sana kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2010.
 
Hapa napata picha ilivyokua kazi kupambana na ukoloni. Inaonesha wazi kuwa kuna waswahili wenzetu walikua wanawish mkoloni asiondoke.
 
  • Thanks
Reactions: C.K
Cdm imejaa watu wanafiki sana kama huyu mleta maada!! Wivu wa nini sasa!? Unataka ualikwe wewe!? Unataka ushikwe wewe mikono ndo uridhike!? Siasa za kijingajinga hizi mziache! Wangekuwa wameitwa na Lowassa ungekuja mbio mbio na uzi hapa!?

Ni watu wazima, wanaakili timamu, mambo ya kuwachugulia cha kufanya ni upuuzi

Nchi inaangamia stuka wewe acha ushabiki wa kipuuzi
 
Mi Nahsi Mtoa Mada Hufuatiliagi Hata Vyombo Vya Habari Fid Q Alisema" Wasanii Wanamuandalia Party Ya Kumuaga Kikwete Na Kumkaribisha Magufuli" Na Sio Unavodai Eti Kikwete Ndo Kaandaa Source Cloudsfm Kipindi Xxl ningekutajia hadi siku
 
Na wataabika sana mwakani wakati wanafunzi wanoongoza mitiani ndio watakuwa wanaalikwa ikulu huku wafanyakazi bora wa taasisi mbalimbali wakiwa wanaalikwa ikulu

Hahaha nimeipenda hii
 
Wasanii wengi akili zao haziko vizuri. Wawe wa muziki au wa filamu hawana uwezo wa kutafakari jambo lolote kiumakini, pia hawakujaliwa uwezo wa kutazama mbele.
Ndio maana akina Wema sepetu na Afande sele walipiga picha wakiwa uchi.

Wengine wamesema wanafanya muziki kuepukana na kukaba:confused::confused:unategemea kuna kitu hapo???
 
Kuna event inaendelea LIVE AZAM TV!! Wasanii wanamuaga mh Rais JK na pia wanampongeza mgombea wa CCM Mh JP Magufuli. My take....je hawa wasanii nao ni wana CCM sugu a.k.a Magamba???
 
View attachment 274032

Je wasanii hawa ni sehemu ya mabadiriko? kweli tunasafari ndefu wamejuaje kaama magufuri ndiye atashinda.............. au ndo lie goli
Pia hawajui kazi zao zina mashabiki wa vyama vyote? Shame



BADO WANAENDELEA KUSALIMIANA NA Rais na jopo lake....................


RAIS AMEKETI SASA WIMBO WA TANZANIA TANZANIA UNAIBWA KWA MADAA NADHANI HUYU NI RUBY........


Rais anaimbiwa live na Fid Q

Jose mara anaimba
Sasa Mkuu hao wasanii wa bongo fleva na Bongo move wako wapi apo kwenye picha zaidi ya Dangote.....!!
Au ule usanii wakusanii wananchi ndio ilikuwa point yako...!!??
 
Back
Top Bottom