Una ushahidi katika hilo we dogo? Kama ni kweli inasikitisha sana.Kosa lipo kwa viongozi wa dini wakristo
Wanatanguliza pesa mbele kuliko maadili ya dini
Hatujiheshimu! dini nyingine wataanza vipi kutupa heshima?
Mfano mzuri ni video ya Zuchu ft. Diamond Mtasubiri kanisa la Pugu wamepewa hela wakawapa kibali cha kuigiza bongo fleva kanisani.
Kaangalie hiyo video, na behind the scene walisema ni kanisa la pugu katoriki na lazima walitoa hela sio bureUna ushahidi katika hilo we dogo? Kama ni kweli inasikitisha sana.
kibonge unajua nini wewe kama kimya 🤣Kosa lipo kwa viongozi wa dini wakristo
Wanatanguliza pesa mbele kuliko maadili ya dini
Hatujiheshimu! dini nyingine wataanza vipi kutupa heshima?
Mfano mzuri ni video ya Zuchu ft. Diamond Mtasubiri kanisa la Pugu wamepewa hela wakawapa kibali cha kuigiza bongo fleva kanisani.
Hamtaki kuilingania dini yenu wafanyeje zaidi ya kuifanyia mizaha? Amkeni; muwe na wivu mkubwa na dini yenu!Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo.
Kwann wanafanya hivi?
Wamekosa content za kuimba?
Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc.
Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo zao, kila siku wanahangaika na Yesu??
Juzi kati Baba Levo ameingiza sala ya bwana(ambayo inaheshimiwa na kila mkristo wote duniani) mwanzoni kabisa kweny nyimbo yake, why?
Sijui wanamaanisha nini wanapofanya hivo, kama ni kejeli, sawa haina shida ila kama wanafanya hivo ili kuleta ladha, hio reason itakuwa ni nonsense kwa sababu sioni ladha yoyote kuhusisha mambo ya dini na mungu kweny nyimbo wanazoimba wao.
Mm sina shida hata wakiigiza kama Yesu yuko msalabani kama wasanii wa marekani wanavyofanya, lakini hapa sio marekani, mimi ni mpenzi sana wa bongo fleva na afrobeats, napenda mziki wetu ubaki kuwa neutral usiokuwa na mambo yoyote yanayokwaza watu wa upande fulani.
Kwenye ukristo wengi wamechagua kumuabudu Mungu na sio dini.Hamtaki kuilingania dini yenu wafanyeje zaidi ya kuifanyia mizaha? Amkeni; muwe na wivu mkubwa na dini yenu!
Kutukana dini siyo utapigwa tu na waislam hata gerezani unaenda ni kosa lililo bayana kwenye penal code kwahiyo usijaribu kwenda msikitini ukajaribu kuwatukana kichapo utakacho chezea ukirudi nyumbani kwenu wazazi wako wenyewe watakusahau watakuuliza we ni naniWaislamu wako extreme sio kama Wakristo. Utaongea neno moja tu la utani kwenye kuruani unasomewa al baridi sijui, Fatah, takbiri sijui, yaani unahukumiwa kifo na linakuwa ni jukumu la mwisilamu yeyote kukuua. Wakristo hawana mambo hayo, ni watu wa amani ndio maana wasanii, hata wa kiislamu, wanakimbilia huko.
Ukitaka kujua dini ya kweli duniani ni ipi, ingia ndani wakati wakifanya ibada halafu piga kelele, nyie wajinga, hamjui mnachoabudu! Wale watakaokushushia kipigo cha mbwa koko sio dini ya kweli, ni wafuasi wa Ibilisi tu hao. Watakaokutoa nje kwa amani bila kukudhuru ndio dini ya kweli!
Hili halijakaa sawa kwa hao wanamuziki.... nafikiri wanajua kuhusu nyimbo za dini na hizo za duniaKitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo.
Kwann wanafanya hivi?
Wamekosa content za kuimba?
Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc.
Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo zao, kila siku wanahangaika na Yesu??
Juzi kati Baba Levo ameingiza sala ya bwana(ambayo inaheshimiwa na kila mkristo wote duniani) mwanzoni kabisa kweny nyimbo yake, why?
Sijui wanamaanisha nini wanapofanya hivo, kama ni kejeli, sawa haina shida ila kama wanafanya hivo ili kuleta ladha, hio reason itakuwa ni nonsense kwa sababu sioni ladha yoyote kuhusisha mambo ya dini na mungu kweny nyimbo wanazoimba wao.
Mm sina shida hata wakiigiza kama Yesu yuko msalabani kama wasanii wa marekani wanavyofanya, lakini hapa sio marekani, mimi ni mpenzi sana wa bongo fleva na afrobeats, napenda mziki wetu ubaki kuwa neutral usiokuwa na mambo yoyote yanayokwaza watu wa upande fulani.
Pesa ni swala mtambuka sana. Kuna eneo nimekuta Kuna malumbano Kati ya mchungaji wa KKKT na waumini wa eneo flan kwamba Kuna watu hawawatambui(recognize) kwa ngazi ya Jumuiya na ni waumini kanisani ukiulozauliza hao watu ni watu flan hivi wenye kibundaKosa lipo kwa viongozi wa dini wakristo
Wanatanguliza pesa mbele kuliko maadili ya dini
Hatujiheshimu! dini nyingine wataanza vipi kutupa heshima?
Mfano mzuri ni video ya Zuchu ft. Diamond Mtasubiri kanisa la Pugu wamepewa hela wakawapa kibali cha kuigiza bongo fleva kanisani.
mbona harmonize alimtukana allah,Ukristo umeshaharibiwa na wakristo wenyewe , Qaswida haikubaliki katika uislam ni mambo ya haram kama zilivyo nyimbo zingine, kuhusiana na kujaribu kuutest uislam na kuufanyia dhihaka kwenye nyimbo zao nafikiri hata kuwaza hawajawahi kuwaza kufanya hivyo ukitaka kujua ni kwanini hawajawaza jaribu wewe uone outcomes