Wasanii si vioo vya jamii

Kiukweli kabisa Mm mwenyewe sikubaliani na huo msemo hata kidgo.
Labda kama ni kioo cha jamii flani ya Kisanii sanii sawa lkn sio jamii yote.
Binafsi sina cha kujifunza life style kutoka kwa msanii,labda (m/wa)sanii (a/w)ajifunze kwangu.
Tuko pamoja.
 
Lakini mkuu wewe unaonaje tunaposema mtu fulani ni kioo hali ya kuwa anamapungufu, je ni sahihi?
 
Lakini mkuu wewe unaonaje tunaposema mtu fulani ni kioo hali ya kuwa anamapungufu, je ni sahihi?
Ni sahihi mkuu.

Kwa sababu mssanii ni kioo cha jamii lakini pia na yeye ni sehemu katika jamii.

Kwa hiyo atakuwa na mapungufu kwa sababu na yeye ni sehemu katika jamii na huwenda akahitaji kurekebisha mapungufu kutoka kwa wengine.

Lakini pia yeye ni kioo cha jamii kwa sababu ni msanii vile vile kwa hiyo akiwa katika usanii ata play part yake.

Kwa hiyo kuwa na maoungufu ya kiusanii haiondoi ukioo wake kwa jamii.ksma ambavyo mapungugu ya serikali hayafanyi seriksli isiwepo.

Mapungufu ya wazazi hayafanyi wao wasiwe wazazi kabisa bali watakuwa ni wazazi wenye mapungufu yao fulani.
 
Sawa

Kuna wale jamaa wanaopenda kusema "Tukubaliane kutokukubaliana,katika mambo ambayo hatukubaliani" ndicho kilicho tokea hapa.
 
Lakini mimi mtazamo wangu ni kuwa; wasanii kuwa na mapungufu hakuwafanyi wasiwe wasanii,Bali kunawafanya wasiwe vioo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…