Wasanii na pesa za CCM

Wasanii na pesa za CCM

mimibilly

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
35
Reaction score
10
Wanajamvi wote wapenda mabadiliko tunajua uwezo wa kufikiri wa wasanii wa kitanzania,ccm imeshawapa pesa wakiamini ni watu muhimu kuwapigia kampen,kwa mtu makini siamini kama utapoteza muda kutakanana nao mitandaoni sababu wameshakula cha watu,upande wangu mimi ni kufanya jambo dogo tu 'UNFOLLOW THEM' nimeshaanza na shilole,wema,petitit,kupendezaraha na mwingine nitakayeon upeo wake wa kufikiri mdogo au mwenye maslahi binafsi bila kujali wengine ambao wanateseka kwa utawala huu wa kipumbavu wa tangu enzi,kama unaweza nijoin katika hilo zoez
 
Mm binafsi ... nilisha wapuza wengi ...ni machangudoa tu hao......hawajui kitu
 
Wanajamvi wote wapenda mabadiliko tunajua uwezo wa kufikiri wa wasanii wa kitanzania,ccm imeshawapa pesa wakiamini ni watu muhimu kuwapigia kampen,kwa mtu makini siamini kama utapoteza muda kutakanana nao mitandaoni sababu wameshakula cha watu,upande wangu mimi ni kufanya jambo dogo tu 'UNFOLLOW THEM' nimeshaanza na shilole,wema,petitit,kupendezaraha na mwingine nitakayeon upeo wake wa kufikiri mdogo au mwenye maslahi binafsi bila kujali wengine ambao wanateseka kwa utawala huu wa kipumbavu wa tangu enzi,kama unaweza nijoin katika hilo zoez
Nilivyo kusoma tatizo ni kuwa mfuasi wa CCM, si ndio? Sasa haya mambo mnayo yaleta humu yatawagharimu...Hivi wamasai wa meru wanavyo jitoa CCM, unafikiri Wasukuma na wanyamwezi au makabila yaote ya kanda ya ziwa hawataki Rais atoke kwao? kwani hatujui kwamba mmesafirisha watu kwenda Mwanza kuficha aibu yenu? Mnataka kabila kubwa kuliko yote na lanyewe lijipambanue na kuegemea kwa Mgombea wa kabila lao? Basi ukabila utatawala kampeni hizi muone kama mtashinda
 
Huu ni upuuzi wa kupuuzwa...waache sis ni mabadiliko tu
 
Wanajamvi wote wapenda mabadiliko tunajua uwezo wa kufikiri wa wasanii wa kitanzania,ccm imeshawapa pesa wakiamini ni watu muhimu kuwapigia kampen,kwa mtu makini siamini kama utapoteza muda kutakanana nao mitandaoni sababu wameshakula cha watu,upande wangu mimi ni kufanya jambo dogo tu 'UNFOLLOW THEM' nimeshaanza na shilole,wema,petitit,kupendezaraha na mwingine nitakayeon upeo wake wa kufikiri mdogo au mwenye maslahi binafsi bila kujali wengine ambao wanateseka kwa utawala huu wa kipumbavu wa tangu enzi,kama unaweza nijoin katika hilo zoez

Sijawahi fikiria kuwa follow hao watu wengi wao ni wajinga,
 
Nilivyo kusoma tatizo ni kuwa mfuasi wa CCM, si ndio? Sasa haya mambo mnayo yaleta humu yatawagharimu...Hivi wamasai wa meru wanavyo jitoa CCM, unafikiri Wasukuma na wanyamwezi au makabila yaote ya kanda ya ziwa hawataki Rais atoke kwao? kwani hatujui kwamba mmesafirisha watu kwenda Mwanza kuficha aibu yenu? Mnataka kabila kubwa kuliko yote na lanyewe lijipambanue na kuegemea kwa Mgombea wa kabila lao? Basi ukabila utatawala kampeni hizi muone kama mtashinda

ushuzi mtupu
 
Kama IQ tunatofautina sio vyema kuwatenga wapewe elimu lakini jambo la msingi hapa ni kuacha uhuru wa kuamua na kuchagua katika maamuzi ya msingi...!
 
Sijawahi fikiria kuwa follow hao watu wengi wao ni wajinga,

Kosa kubwa sana kuwafananisha wasanii na miungu hawa ni watu kama sisi wenye hisia zao Za kupenda chama au mgombea fulani...!
 
Nilivyo kusoma tatizo ni kuwa mfuasi wa CCM, si ndio? Sasa haya mambo mnayo yaleta humu yatawagharimu...Hivi wamasai wa meru wanavyo jitoa CCM, unafikiri Wasukuma na wanyamwezi au makabila yaote ya kanda ya ziwa hawataki Rais atoke kwao? kwani hatujui kwamba mmesafirisha watu kwenda Mwanza kuficha aibu yenu? Mnataka kabila kubwa kuliko yote na lanyewe lijipambanue na kuegemea kwa Mgombea wa kabila lao? Basi ukabila utatawala kampeni hizi muone kama mtashinda

Acha ukabila wewe! Chadema ni ya watz wote!
 
Wapiga kura wengi hawajui Instagram, Facebook wala Twitter. Kiuhalisia mambo hayawezi kuwa 100% kama yanavyopangwa.
 
Wasanii nimeshangaa wamepost kitu kinachofanana nikajua tu washapewa chochote Ila mabadiliko mwaka huu hayaepukiki
 
wao wanatafuta fedha na ni haki yao! ukiamua ku unfollow them,just do it ila usitushawishi!
 
Nadhani na Lowasa nae ni msanii na anapaswa kupuuzwa.

Jamaa ana degree kabisa ya SANAA na ni muigizaji mzuri.

Kwa sasa kajiunga na kikundi cha UKAWA SANAA GROUP.
 
Back
Top Bottom