kipusi
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 443
- 75
Madawa ya kulevya Ni tishio kwa vijana nchini haswa wasanii, wasanii wetu mnatakiwa kubadilika na kutambua matumizi ya madawa ya kulevya yanaathiri nguvu kazi ya taifa haswa vijana kwa kuwa nyie ndio kioo cha jamii.TUBADILIKE TANZANIA BILA MADAWA YA KULEVYA INAWEZEKANA.