ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Nikisikia hata Ney wa mitego, kuna dogo mmoja mjanja kidogo wa Town aliniambia kuna baadhi ya washkaji zake wanatumia,yy mwenyewe hana mpango kabisa na gym.Ila vijana wanakazi.Mkuu wanakunywa mara moja au ndo dozi ya milele?
Nikisikia hata Ney wa mitego, kuna dogo mmoja mjanja kidogo wa Town aliniambia kuna baadhi ya washkaji zake wanatumia,yy mwenyewe hana mpango kabisa na gym.Ila vijana wanakazi.
Mazee vipi umeongelea watu, na unatuletea picha ya Ng'ombe ...!!Aisee mambo ya kuwa na mwili na Misuli ya kuvutia imepelekea wasanii wengi wajitoe muhanga kula dawa Ili waweze kupata Misuli mikubwa na inayoonekana ilinkuimarisha brand zao.
Niwekee wazi tu SI rahisi Kwa mtu yeyote kubeba vyuma na kuwa na mwili wenye Misuli, hata magwiji kama Anorld, Rambo walikiri kutumia dawa yaani steroids Ili kuboresha muonekano wao. Hata wewe mwanajamvini ukiamua unanunua na unapiga tizi kidogo sana Misuli hiyo inakuja.
Ukinywa hizi dawa utajazia tu ila hazikuongezi nguvu.
Moja ya madhara ya madawa haya ni ugonjwa wa moyo, pressure, lakini pia ukinywa unapata mzuka sana wa kusex kwakuwa inaongeza testorine hormone,
Wasanii wanaokunywa dawa kuongeza Misuli ni Hawa
1. Diamond platnums
2. Harmonize konde
3. Kalisa
Hawa ni wachache ila wapo wengi sana, maromboso aliambiwa asitumie kwakuwa ana ugonjwa wa moyo. Sasa msijekujiuliza mtu alikuwa kimbaumbau Leo Misuli hiyo, hata yule baunsa wa mange ni hivo hivo.
Picha hapa chini ni ng'ombe waliyemnywesha dawa hizo za misulim
Mkuu wabongo hawaelewagi mpaka mfano wa mnyamaMazee vipi umeongelea watu, na unatuletea picha ya Ng'ombe ...!!
Sasa we unapiga gym hujui ata rate ya steroids kwa celebrities wapiga vyuma Ili kujaa haraka..? Unabishia ninimwaka 12 huu gym sana sili dawa ila nimetobia vibaya mno!
acha kukalilishwa kama wanakula dawa mkuu ukipiga gym miez 3 aloo lazima ubadirike sana.
Bablai hizo sio dawa za kulevya...ni gym powders na steroidsWASANII WA BONGO KWA KUFAKE MAISHA HAWAJAMBO, MAZOEZI HAWATAKI ILA MADAWA WANATAKA, AISEE KUMBE NDIO MAANA BAADAE WAKISHUKA KIMUZIKI WANAINGIA KWENYE UTEJA WA MADAWA YA KULEVYA
Ila hao wanakua powders sana..ndio mana wakiacha manyonyo yanashuka sana na belly...haaahaa iyo ndo dalili kubwa za mtu anaemtumia iyo makituChuma ni sacrifice, kama mazoezi yamekushinda acha kuleta majungu.