Wasafwa

justin mwanshinga

Senior Member
May 22, 2014
179
621
6f02bbd13ed7339903f83d73b0c12190.jpg
 
Nikiona neno Waswafa namkumbuka Mwl. mmoja wakiswafa nilikutana nae Rukwa/Sumbawanga Nkasi Namanyere,dah naomba usiku kama ule ujirudie tena aiseee.
 
acha kukurupuka nyau wee umekuja juzi tu unaanza kuposti posti utumbo wako
Acha kebehi unajuaje kuwa nawe post zako zinakera wengine after law unajuaje kuwa wewe ni wa zamani.
Kwa shambulio hilo tu unaonekana usivyokuwa na uvumilivu kwa wengine unataka uletewe yanayokubariki wewe tu. Assume angeandika kabila lako ungekuja na povu kiasi hiki.
Kuwa na heshima kwa wenzio mimi sijaona kosa lake. Na ni ukweli kuwa jiji la mbeya ni la wasafwa, nyakyusa tukuyu, nyiha mbozi, ndali Ileje, wabungu chunya, wasangu mbarali sasa wewe shida yako nini?.
 
Back
Top Bottom