big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 401
- 1,091
Wale jamaa wanapiga pesa kwenye parcel,,kuna mjuba niliwahi msikia kwenye hiyo 2,500,000 ya maingizo,bosi anabaki na 1,000,000 baada ya kutoa kila kitu50x50,000 = 2,500,000 hii ni kwa siku.
2,500,000 x 280 = 700,000,000 (tume assume lina fanya kazi siku 280 tu kwa mwaka).
Chukua 700,000,000 x miaka 3 unakua hujarudisha hela ya kununulia? Yani hapo weka na hizo gharama zote kuanzia matengenezo nk nk!
Hapo ongezea mizigo ya abiria na mizigo inayotumwa na watu (courier)imagine kama abood anapata 11,000×65 = 715,000/=, kwa trip moja Dar-Moro, sijui huwa basi moja linapiga trip ngapi, naona kama ni ndogo hiv.sijui wanafanyeje biashara kiasi kwamba utakuta pia ameagiza mabasi 20 mapya kwa mpigo..
Kwa nini abiria atozwe gharama za mzigo wake!???....Hapo ongezea mizigo ya abiria na mizigo inayotumwa na watu (courier)
hata duka pia linaweza ungua baada ya siku 3-Hilo gari una uhakika wa abiria wa Kahama tuuu!
Jibu ni hapana. Hivyo,hesabu hiyo kwa siku huwezi kuipata.
-unajua maintenance ya gari?
-umeshaweka gharama utakazoibiwa?
Je, baada ya wiki likipata ajali?
Kwenye hesabu za biashara ukilenga faida bila kukumbuka na hasara utalia. Sema kwa hesabu zako,anaongezea kidogo anapata za mchina 2, hesabu itakayolala ndo hiyo hiyo
Sio kila siku basi siti zote zinajaa labda usimamie tajiri mwenyew
Anasemea mizigo inayotumwa, sio anayosafiri nayo abiria.Kwa nini abiria atozwe gharama za mzigo wake!???....
Ila abiria kama una mafurushi kama una hama mpaka mtu anashtuka kuna kiasi pia wanakucharge except begi lako la nguo.Kwa nini abiria atozwe gharama za mzigo wake!???....
Tajiri ukasimamie bus direct! watakususia muda si mrefu.Sio kila siku basi siti zote zinajaa labda usimamie tajiri mwenyewe
Katika iyo 50,000 Kuna Kodi zaidi ya 25% pia,,Kuna zaidi ya 25% Tena kama gharama za uendeshaji,biashara ina faida kwa Hali tata sana mpaka uingie ngomani ucheze ndio utaelewa utamu wa mchezo,,mfanyabiashara anataka ukwasi au wanaita CASHFLOW au tuseme EQUITY ili aweze kufanya mambo mengi kwa mapana hapo ndio anapoweza kutengeneza faida kwa haraka haraka utaona kama anapoteza au hapati faida lakini kwa uhalisia anapata faida maradufu.hiyo 50k umepigia anayopewa boss au nauli aliyokatiwa mteja? maana naonaga kama nauli ni 50 kuna hela kiasi ya mkata ticket (huku wanaita kyagora sijui vyagora[emoji23]) tufanye 5000 then kwa bosi inafungiwa 45,000
Namzungumzia ScandsHiyo ni sababu mfu. Vp mabasi mengine nao waliruhusu politicians?
Kwahiyo ukisimamia tajiri mwenyewe utawafata abiria majumbanj uje kujaza.Sio kila siku basi siti zote zinajaa labda usimamie tajiri mwenyewe
Hii biashara ni complicated waliosimama hawategemei biashara hio pekee.Kwahiyo ukisimamia tajiri mwenyewe utawafata abiria majumbanj uje kujaza.
Nimeshakuelewa ulipoishia. Jua lina uwezekano wa kuacha kuzama, lakini sio wewe kuelewa hesabu za mabasi ktk biashara.
Ety nini???Biashara imani...
Kama umeona hilo na ww bado ni kijana basi una dalili za kutoboa.Biashara ya magari inalipa asikuambie ntu hakuna cha biashara kichaa wala chizi, halaf hizo changamoto hakuna biashara hata moja ambayo haina changamoto hata hizo za unga, had ukahaba unachangamoto, na biashara yyt kuna muda unapiga hela sana muda mwngn wastani muda mwingin ndy hvyo wateja unatafuta kwa tochi, ila basi wanapiga faida na ndio maan wapo miaka na miaka hawaachi cheki New force zilivyofululiza kupata ajali mwaka jana ila ngoma bado wapo barabran tuacheni uvivu hakuna biashara isiyo na changamoto, kama changamoto huzitaki subiri ajira za uwalimu za mama samia
jidanganye ivo ivoNdio maana wengi wanakimbilia mchina, pengine Kwa bei hiyo ya Scania unaweza kupata mchina zako tatu labda.
Mchina = Yutong, Zhong Tong, etc
Hivi unajua kuwa hela inayoingia kwenye kusafirisha parcel na mizigo midogo midogo?-Hilo gari una uhakika wa abiria wa Kahama tuuu!
Jibu ni hapana. Hivyo,hesabu hiyo kwa siku huwezi kuipata.
-unajua maintenance ya gari?
-umeshaweka gharama utakazoibiwa?
Je, baada ya wiki likipata ajali?
Kwenye hesabu za biashara ukilenga faida bila kukumbuka na hasara utalia. Sema kwa hesabu zako,anaongezea kidogo anapata za mchina 2, hesabu itakayolala ndo hiyo hiyo
Tupe uelewa mkuuHivi unajua kuwa hela inayoingia kwenye kusafirisha parcel na mizigo midogo midogo?