Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
Okey asante kwa kunirekebisha maana nyimbo zake zinapigwagwa Mwanza hasa has ile ya 'nirudi kijijini'Wewe jamaa Best nasso siyo wa Mwanza ni msanii kutoka Musoma. Mwanza tunawakilishwa na Fid q + Young killer.
Young Killer naye alianza kumdiss Joh Makini kisa anabebwa sasa basi wangesema wasanii wa kaskazini ndo wanabebwa maana kila radio hakupigwi nyimbo mbili yatattu isitoka kaskazini
, Ukienda mwanza msanii wao Best Nasso, mbeya msanii wao ni mr. Xmass etc etc. Nyinyi mkijikusanya wala sio ukabila lakini sisi tukimind our own business inakuwa ukabila, kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.