Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

kanali mstaafu

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Messages
4,119
Points
2,000
kanali mstaafu

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined May 17, 2015
4,119 2,000
Mimi ni mmoja wa mashabiki wa msanii Joh makini tangu anatoka akitengenezwa kuja kuchuana na msanii mwenye kipaji kuliko wote bongo (Chid benz).

Mwamba wa kaskazini alitikisa anga la mziki na kila mkwaju alioachia ulikuwa wa Moto ndio maana alipojiita Tz Jay z sikumbishia sana.

Nakumbuka ngoma zake kama Mfalme,Hao,muda,sijutii,Stimu zimelipiwa,Show za Joh,Kilimanjaro n.k, collabo alizopiga akangaa kama utaipenda ya Hussein machozi na nyinginezo.

Huyu Joh makini wa Weusi simuelewi kabisa yaan amepwaya katika uandishi kuliko zaman, hatumuoni kama Hip hop icon wa kaskazini yaani anakoelekea haeleweki kabisa.

Chondechonde tunamhitaj Joh Makini wa Hao, huyu wa madaraka,Nicome ndugu zake njooni mumchukue.
 
cyrustheruler

cyrustheruler

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Messages
1,897
Points
2,000
cyrustheruler

cyrustheruler

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2015
1,897 2,000
Upepo umebadilika zile hardcore hiphop sasa zinaonekana "haziuzi" tena in the sense kwamba wale wanaobakia na hardcore hiphop ni wale walio na misingi yao "economic resilience"cheki watu kama Watengwa recs. wao wamebakia na hardcoreHiphop kutokana na mahaba yao sasa kwa sababu ya "njaa" hardcore hiphop inatupwa kando japo ni mziki wenye kutoa uhalisi wa maisha ya "watu wetu" nafikiri ndio chanzo cha Joh na wengine wengi kufanya hihop laini.
 
sawee225

sawee225

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Messages
2,684
Points
2,000
sawee225

sawee225

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2017
2,684 2,000
Sidhan kama unaweza kuwa kileleni milele.....ni mda wake wa kuwaachia wengine
 
leiguanan

leiguanan

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2017
Messages
616
Points
1,000
leiguanan

leiguanan

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2017
616 1,000
Acha Weusi wakomae na music ambao ndio consumers wanaoutaka ili waweze ku stabilize economically baadae watarudi tuu kwenye hardcore mkuu.
swali la kizushi lakini lina maana kubwa.

Hawa jamaa wamemiliki soko kwa muda mrefu lakini uchumi wao mbona hausadifu yaliyomo au pia wanachokifanya hakiuzi kiviile???
 
Mark Msue

Mark Msue

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
2,305
Points
2,000
Mark Msue

Mark Msue

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
2,305 2,000
swali la kizushi lakini lina maana kubwa.

Hawa jamaa wamemiliki soko kwa muda mrefu lakini uchumi wao mbona hausadifu yaliyomo au pia wanachokifanya hakiuzi kiviile???
Sidhani kama hawa jamaa ni watu wa kupenda ku expose their possession kihivyo mkuu...All in all wana progress flani ya maana tuu sio wa kufananishwa na Lord Eyes.
 
leiguanan

leiguanan

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2017
Messages
616
Points
1,000
leiguanan

leiguanan

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2017
616 1,000
Sidhani kama hawa jamaa ni watu wa kupenda ku expose their possession kihivyo mkuu...All in all wana progress flani ya maana tuu sio wa kufananishwa na Lord Eyes.
oouh labda kweli maana siwezi jua lakini mafanikio hayajifichi.

Namfahamu john vizuri saana achana na JOh wa kwenye kideo kama utapajua 360 utanielewa na mtaa wa jaluo walipohamia. Asante.
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,436
Top