Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,022
Exactlytengeneza tv yako kisha weka chawa wako wa kuendesha TV yako.
Soko lipo wazi
Kumsifia Domo.Hiyo redio imekaa kiuni uni tu,hv huyo baba levo kazi yake ni ipi pale WCB??
Hakuna majaji hapo..Sijui wanajiita majaji wako wakina baba levo na wenzake wamejaa jeuri na dharau za kwenda juu zenye kuwakatisha tamaa vijana watafutaji.,hasa baba levo ni mropokaji sana na pia wajaji karibia wote sidhani kama wana elimu ya utangazaji zaidi ya uzoefu.[emoji2827]
Anapiga kelele.Baba levo akutafutie kipaji kweli, mtu anatangaza kama anapigana.
Ndivyo alivyoAnapiga kelele.
Hahahatengeneza tv yako kisha weka chawa wako wa kuendesha TV yako.
Soko lipo wazi