Was Magufuli the best choice?

Was Magufuli the best choice?

Hizi ni baadhi ya kauli za wapinzani miaka ya nyuma...

1.Tunataka rais ambaye hatààngalia surà yà mtu(John Mnyikà 20 in EEZ12 àkiwa Kilombero,Morogoro)

2.Tunataka Rais mkali asiyechekachekà na mtu(Peter Msigwa akihutubia Mbeya)

3.Tunàtaka Rais asiyesàfirisafiri nje(Freeman Mbowe akiwa Kànda ya Ziwa 2013)

4.Nchii hii inahitaji Rais dikteta na si vinginevyo(Tundu Antipas Lissu akiwa Dar es Salaam)

5.Tunataka Rais atakayekuwa akikusanya kodi( Freeman Mbowe akiwa Tandahimba)

6.Tunataka Rais ambaye atarudisha nidhàmu serikàlini(G.Lemà akiwa Mbeya)

7.Nchi hii inahitàji Rais atakaye wafunga jela mafisadi( John Heche akiwa Tarime)

8.Tunàtàka Rais ambaye atalinda maliasili zetu( Mch.Msigwa akiwa bungeni 2014)

Baada ya 2015 wamebadilika.........

Is Magufuli the right choice?... Kwa upande wangu kweli Magufuli is the right choice na anastahili kuwepo alipo. How do you think about it wana JF?
Baada ya Raisi Magufuli kuapishwa, alichukua muda mrefu sana kuteua na kukamilisha baraza lake LA Mawaziri mpaka wananchi wakawa wanajiuliza kulikoni jibu ni kuwa alikuwa anaangalia USO wa mbunge was CCM mmojammoja na wanachama nje ya bunge. Wateule wa namna hii huwa siyo watendaji wazuri wa kazi kwa sababu ya kukosa ujuzi kwa huyo kazi yao itakuwa kudumisha uhusiano wao na aliyewateua. Sura za wateule hawa pia huangaliwa zimetoka wapi na ikichunguzwa sana hata zinaabudu wapi. Katika ajira ya namna hiyo hata uamuzi wa kutengua au kutumbua watumishi hao huwa mgumu sana kwa sababu tena aliyewateua lazima awaangalie usoni. Hata kwenye maisha ya kawaida ukiajiri ndugu,rafiki, mjomba, au swaiba wako hata akitenda kosa la jinai hata mahakamani huwezi kumshitaki utabaki unalaani tu
 
Hayo yote inabidi yafanywe kwa kufuata sheria sasa jitu hili halifati sheria wala katiba lazima akataliwe tu ukizingatia...Hashim Rungwee Spuuundaa amepata kuura 0.04%
 
Back
Top Bottom