Was Magufuli the best choice?

Was Magufuli the best choice?

PURT50

Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
43
Reaction score
36
Hizi ni baadhi ya kauli za wapinzani miaka ya nyuma...

1.Tunataka rais ambaye hatààngalia surà yà mtu(John Mnyikà 2012 àkiwa Kilombero,Morogoro)

2.Tunataka Rais mkali asiyechekachekà na mtu(Peter Msigwa akihutubia Mbeya)

3.Tunàtaka Rais asiyesàfirisafiri nje(Freeman Mbowe akiwa Kànda ya Ziwa 2013)

4.Nchii hii inahitaji Rais dikteta na si vinginevyo(Tundu Antipas Lissu akiwa Dar es Salaam)

5.Tunataka Rais atakayekuwa akikusanya kodi( Freeman Mbowe akiwa Tandahimba)

6.Tunataka Rais ambaye atarudisha nidhàmu serikàlini(G.Lemà akiwa Mbeya)

7.Nchi hii inahitàji Rais atakaye wafunga jela mafisadi( John Heche akiwa Tarime)

8.Tunàtàka Rais ambaye atalinda maliasili zetu( Mch.Msigwa akiwa bungeni 2014)

Baada ya 2015 wamebadilika.........

Is Magufuli the right choice?... Kwa upande wangu kweli Magufuli is the right choice na anastahili kuwepo alipo. How do you think about it wana JF?
 
Ama kweli Magufuli was the right choice, naiona Tanzania ya uchumi wa kati 2025,Piga kazi Mhe. tupo nyuma yako.....
Unajiuliza swali kwenye heading halafu unamalizia mchango wako kwa kujibu swali ulilojiuliza!
Sisi wachangiaji tufanye sasa?
 
Hizi ni baadhi ya kauli za wapinzani miaka ya nyuma...

1.Tunataka rais ambaye hatààngalia surà yà mtu(John Mnyikà 2012 àkiwa Kilombero,Morogoro)

2.Tunataka Rais mkali asiyechekachekà na mtu(Peter Msigwa akihutubia Mbeya)

3.Tunàtaka Rais asiyesàfirisafiri nje(Freeman Mbowe akiwa Kànda ya Ziwa 2013)

4.Nchii hii inahitaji Rais dikteta na si vinginevyo(Tundu Antipas Lissu akiwa Dar es Salaam)

5.Tunataka Rais atakayekuwa akikusanya kodi( Freeman Mbowe akiwa Tandahimba)

6.Tunataka Rais ambaye atarudisha nidhàmu serikàlini(G.Lemà akiwa Mbeya)

7.Nchi hii inahitàji Rais atakaye wafunga jela mafisadi( John Heche akiwa Tarime)

8.Tunàtàka Rais ambaye atalinda maliasili zetu( Mch.Msigwa akiwa bungeni 2014)

Baada ya 2015 wamebadilika.........

Ama kweli Magufuli was the right choice, naiona Tanzania ya uchumi wa kati 2025,Piga kazi Mhe. tupo nyuma yako.....
CDM uwa nawanyima point ksb hawajui wanachotaka.
 
Marehemu spika Samuel sitta naye akamwambia JK ongeza ukali kidogo
 
Vijana kutoka ufipani bado wako kwenye ibada. Tuwasubiri wakitoka tuone watajibu kwa hoja au utaambulia matusi. Maana mara nyingi huwa hawajui wanachotaka.
 
Hizo Kauli Hazijitoshelezi. Weka Hotuba Zao Kwa Ujumla Wake Tupate Kuelewa Sentensi Hizo Walipozitoa Zilikuwa Na Maana Ipi. La Sivyo Ulichoandika Ni Propaganda Tu!
 
Hizi ni baadhi ya kauli za wapinzani miaka ya nyuma...

1.Tunataka rais ambaye hatààngalia surà yà mtu(John Mnyikà 2012 àkiwa Kilombero,Morogoro)

2.Tunataka Rais mkali asiyechekachekà na mtu(Peter Msigwa akihutubia Mbeya)

3.Tunàtaka Rais asiyesàfirisafiri nje(Freeman Mbowe akiwa Kànda ya Ziwa 2013)

4.Nchii hii inahitaji Rais dikteta na si vinginevyo(Tundu Antipas Lissu akiwa Dar es Salaam)

5.Tunataka Rais atakayekuwa akikusanya kodi( Freeman Mbowe akiwa Tandahimba)

6.Tunataka Rais ambaye atarudisha nidhàmu serikàlini(G.Lemà akiwa Mbeya)

7.Nchi hii inahitàji Rais atakaye wafunga jela mafisadi( John Heche akiwa Tarime)

8.Tunàtàka Rais ambaye atalinda maliasili zetu( Mch.Msigwa akiwa bungeni 2014)

Baada ya 2015 wamebadilika.........

Is Magufuli the right choice?... Kwa upande wangu kweli Magufuli is the right choice na anastahili kuwepo alipo. How do you think about it wana JF?

Kwahiyo CCM mnafanya kazi kwa kuangalia Chadema wanataka nn sio?
 
Chadema hawakuwahi kutaka kiongozi mvunja katiba na sheria za nchi

Chadema hawajawahi kutaka kiongozi muuaji dhidi ya wenye mtazamo hasi kwa sera za serikali

Chadema hawajawahi kutaka rais mwenyewe kuhodhi bunge na mahakama
 
Hizi ni baadhi ya kauli za wapinzani miaka ya nyuma...

1.Tunataka rais ambaye hatààngalia surà yà mtu(John Mnyikà 2012 àkiwa Kilombero,Morogoro)

2.Tunataka Rais mkali asiyechekachekà na mtu(Peter Msigwa akihutubia Mbeya)

3.Tunàtaka Rais asiyesàfirisafiri nje(Freeman Mbowe akiwa Kànda ya Ziwa 2013)

4.Nchii hii inahitaji Rais dikteta na si vinginevyo(Tundu Antipas Lissu akiwa Dar es Salaam)

5.Tunataka Rais atakayekuwa akikusanya kodi( Freeman Mbowe akiwa Tandahimba)

6.Tunataka Rais ambaye atarudisha nidhàmu serikàlini(G.Lemà akiwa Mbeya)

7.Nchi hii inahitàji Rais atakaye wafunga jela mafisadi( John Heche akiwa Tarime)

8.Tunàtàka Rais ambaye atalinda maliasili zetu( Mch.Msigwa akiwa bungeni 2014)

Baada ya 2015 wamebadilika.........

Is Magufuli the right choice?... Kwa upande wangu kweli Magufuli is the right choice na anastahili kuwepo alipo. How do you think about it wana JF?
JPM is not only the best, but the "bestest"
 
Magufuli ni rais waliyemtaka chadema .. now wanamkataa..
Walibip wakapigiwa..nadhani sasa ccm wanaweza weka mtu yoyote tu..maana ilikuwa shida kumpata mtu sababu ya upinzani..now hata lusinde can president..tumekata fitina ya upinzani
 
Back
Top Bottom