Kumbe unaamini kwamba yesu alikuja ulimwenguni! Huo mwanzo mzuri maana yake kama ukijua yesu alikuja basi najua pia utakua unaamini alikuja kwa malengo gani na kwa ajili ya utukufu wa nani! !
Niaje bro, im in the quest for the truth, i am a free thinker, and I've just lost my religion (Christianity) ila bado nahitaji kujiridhisha zaidi kuwa kuna /au hakuna Mungu! Nimeacha kuamini Ukristo baada ya kugundua kuwa white supremacists wamebadili mambo mengi ya kihistoria na kueleza kuwa yamefanywa na wazungu ili tu tuwaone kuwa wao ni superior race that follows after Gld, kitu ambacho sio kweli. Wameweka uhusika wao katika dini na mambo mengi, ilimradi mtu mweusi aone hana nafasi katika hii dunia.Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
Umeamua kufanya Kitu kizuri sana. Jamii inahitaji watu wa aina hii. Watu wasiopuuza mambo, watu wakudadisi mamboHuu uzi umenifanya nianze na mm research yangu nikimaliza nitaketa mrejesho,,.
Jeinjei said:einstein newton some people are totally brainwashed!
What i hate about religion is that it make us fear to question things... It teaches us to agree with everything we are told like sheep!
If you don't question how would you know whether you are walking the right path? There are many faith systems how do you know whether the system you are Embracing is the right one? Don't be like sheep, question things.
Truth is never in the mainstream, truth is put underground, only those who dare to go down there will find it, go out read books, thats where truth is, if you sit around waiting for TBC or FOX News to talk about the origin of Christianity
Kamanda me nakubalina na ww kabisa. Nilichokua kinanisumbua no doubts zangu tu man.Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
Jeinjei said:Niaje bro, im in the quest for the truth, i am a free thinker, and I've just lost my religion (Christianity) ila bado nahitaji kujiridhisha zaidi kuwa kuna /au hakuna Mungu! Nimeacha kuamini Ukristo baada ya kugundua kuwa white supremacists wamebadili mambo mengi ya kihistoria na kueleza kuwa yamefanywa na wazungu Wameweka uhusika wao katika dini na mambo mengi
Nahitaji kujiridhisha kuwa hakuna Mungu, pendekeza vitabu au sources nyingine nipitie nijiridhishe Einstein Newton
Hahhahahaaaaa...The stupidest idea ever
Moses said:1> Before colonialism different groups of societies all over the world had their own beliefs ambazo zilikua interrupted na wale agents of colonialism Unafikir watu walitoa wap hiyo idea ya kuabudu?
There isn't after life my BrotherWhat is you idea about life after life?
ukifa ndo imetoka,hakuna life baada ya hapo.
nenda ethiopia pale ulipo mlima sayuni ambao Musa alisimama na kuiona promise land biblia ilikuwepo hata kabla ya mkoloni,kuna mambo mengi yamebadilishwa hapo na kuna historia nyingi ya mtu mweusi imefutwa mfano tunapo ambiwa binadamu wa kwanza alikuwa nyani na alipatikana huko oldonyo lengai,wakati huohuo tunafundishwa uwepo wa mungu mzungu na mwanae yesuKama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
I don't want to believe,I want to know
Your assertion depend entirely on definition of God and which kind of God you're actually talking about
Personal or impersonal God?
First,you have to give us exact definition of word God
nenda ethiopia pale ulipo mlima sayuni ambao Musa alisimama na kuiona promise land biblia ilikuwepo hata kabla ya mkoloni,kuna mambo mengi yamebadilishwa hapo na kuna historia nyingi ya mtu mweusi imefutwa mfano tunapo ambiwa binadamu wa kwanza alikuwa nyani na alipatikana huko oldonyo lengai,wakati huohuo tunafundishwa uwepo wa mungu mzungu na mwanae yesu
ndonacho taka tukubaliane yakuwa historia ya mtu mweusi imebadilishwa sana,binafsi naamini tuliijua biblia kabla ya mkoloni ukifatilia vizuri historia ya mwafrika pamoja na imani yake hapo kabla tunaweza kufikia muafaka wajambo hiliSasa wewe unaongelea mambo ya Ethiopia, wawo Waethiopia ni kweli kwamba wameujua Ukristo kabla ya Wazungu na hawajaletewa Ukristo na Wazungu kwanza Kanisa la kwanza Duniani liko Ethiopia lkn mimi naongelea sisi huku kwetu Ukristo tumeletewa na Wazungu yaani kabla ya kuja Wazungu tusingeujua, kabla ya kuja Wazungu tulikuwa hatuitwi George, John, Kenneth, Patrick n.k kama vile Waethiopia ndiyo Wakristo wa kwanza Duniani au ndiko Kanisa la kwanza liliko lkn hakuna Muethiopia anayeitwa Michel, Joyce, Tiffany, au sijui Michael!
The mind can either be "Subjective" or "Objective." Which one are you talking about? Just argue and not shout like chickens.
Pls Einstein naomba uni dadavulie hayo mavituMkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo