Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
Mfanyabiashara bilionea wa Marekani Warren Buffet ambaye ni tajiri namba 3 duniani katika orodha ya matajiri iliyotolewa mwaka 2015 na jarida la Forbes, amenunua hisa zenye thamani ya usd billion 1 katika kampuni ya Apple. Huu ni mwendelezo wa Buffet kuwa mmoja wa wamiliki wa kampuni nyingi kutokana na ununuzi wa hisa.