Warning to all men


sasaa ww huwa unatumia nn kuwapata...MITISHAMBA???
 
Mi nakuhesabia siku tu.... Nikikukamataaaaa!!!

Huna haja ya kuninunulia hiyo makitu, huwa naitengeneza mwenyewe.

aya mbe ila watafute hela vijana hao mbona sijawahi sikia wazee wakilalamika
 

Hizo ndio gharama za kuitwa babe. siku unalala juu ya mti kama popo baada ya kustaafu mwite babe uone kama atakuja.
 
Kwa kuwa tuna Baba mwenye nyumba, Baba mwenye Gari.... sijui hawa wanaomalizia hela zao huhonga wataitwa baba mwenye nini Mkuu......

Tupe jina kwa ukongwe wako mkuu.

 
Kwa kuwa tuna Baba mwenye nyumba, Baba mwenye Gari.... sijui hawa wanaomalizia hela zao huhonga wataitwa baba mwenye nini Mkuu......

Tupe jina kwa ukongwe wako mkuu.
Hahahaaha kudadadeki hako kamtihani kagumu sana..... Labda tuwaite baba mwenye ngozi. Yani kuchunwa ni jadi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…