Warning Kama ww ni fundi simu don't try it

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
Biashara nyingi duniani zinaendesha kwa propaganda.
Kwa mfano Samsung s4 ukiisoma kwenye mtandao wanakuambia inakaa chaji masaa 17 kama unaongea na mtu.

Lakini tukija kwenye uhalisia hiyo simu hata kama haungei na mtu hiyo simu haiwezi kumaliza hata masaa 12.

Unakuja hii lg g3 kwa maelezo yao wao wanakuambia ile simu ikivunjika ile grasi ya juu tauchi itaendelea kufanya kazi lakini ukija kwenye uhalisia hicho kiti hakipo kwenye lg g3 ikivunjika imevunjika.

Tunakuja hizi simu wanazosema haziingii maji lakini ukija kwenye uhalisia zile simu nyingi wanadanganya unakuta mtu amenyeshewa na mvua kidogo tu harafu unakuta simu imezima.

Na tena napenda kuwashauri wale wanaotumia simu zenye waterproof wasije wakajaribu kuziweka kwenye maji waangalie kama maji hayataingia.

Hayo ni mache ktk yale mengi ambayo makampuni ya simu yanajitahidi kucheza na propaganda.

Ila kuna proganda nyingi ambazo wanakumbanaza mafundi simu upande wa software na hardware na huwa zinawaghalimu moja kwa moja.
Na hili ndio limenigusa zaidi na nikaamua kundika huu uzi.
Najua labda yupo fundi amewahi kufikiria kuandika hivi ila mafundi simu wengi tuko busy sana.

Na kikawaida mafundi simu wengi tatizo likitokea kama hizi simu original haraka sana lazima agoogle atafute solution.

ukizitumia solutin za google kichwa kichwa na lazima uumie kwasababu solution nyingi ni za uongo na ndio maana wengi wameishia kuzimisha simu za watu.

Mafundi simu wengi hasa wa hardware wanaamini wahindi ndio top kwenye solution.

Lakini leo nataka niwaletee hii video baada kuona mtiliko wa video nyingi ambazo watu wanadidisha prosesa kwa kutumia broa kama wanadilisha changing system.

na hizi solution usije ukajiribisha kwasababu haiwezekani mmc au prsosesa ukaibadilisha kwa kutumia broa.

Na sio kwamba nasema tu haiwezekani ila nimejaribu kufanyia utafiti.

Kwanza hiyo ic ukiitoa na broa lazima ife kwasababu simu nyingi original huwa wanaweka gundi kali sana na solder ware ngumu hasa samsung.
Kwa hizi broa zetu lazima uie hiy ic.

Na hata kama unaweza kubahatika kuitoa hiyo ic vizuri na ukaweka kwenye simu nyingine kama hiyo hiyo lazima ikatae kwasababu prosesa itakataa kutambua hiyo mmc.

Kwa hizi simu za kichina unaweza ukabadilisha mmc na simu ikafanya kazi kwa mfani zinazo tumia mmc kama hii

Lakini sio simu zinazo tumia mmc kama hii
 

Attachments

mkuu makampuni ya simu hayajadanganyi waterproof wala ukaaji chaji, ni kwamba tu wanatumia lugha za biashara ma wewe unaingia kichwa kichwa na kuamini, mfano unaweza ukaambiwa simu inaingia internet masaa 10, na wewe hujasoma ni kwenye mazingira yapi, yako ikikaa masaa 5 utaona kama umedanganywa, kumbe wenzako wali browse na wifi, wakapunguza mwanga na kutumia browser isiokula chaji,

same kwenye water proof zote zinakuwa na rating na namna gani zinaweza vumilia maji, nyengine ni meter moja, nyengine zinavumilia splash tu nk sasa ukichukua splash proof ukaieka kwenye maji usilalamike kuharibika.

na hizo soc ndio unaweza zibadili, au hujui kama ni binadamu alieziweka hapo? sema process yake ya kuzibadili ni ngumu na kama huna ujuzi wa kutosha utaishia tu kuharibu simu, watu wananunua hizo boards na kudesign wanavyotaka wao wenyewe,
 
elimu nzuri sana hii
 
Asante mr kwa ufafanuzi kuntu.
Niende nje ya mada kidogo. Mr naomba muongozo wa kuflash simu aina ya nokia 500 belle reflesh symbian. RM-750
Nahitaji kuflash mwenyew ila nahitaji maelezo yako. Nn ninapaswa kuwa navyo. Computer ninayo.
Nitashukuru sana. Maana nimejaribu kuwauliza mafundi software humu mpaka leo hawajanipa jibu
 
Usiwe unaanzisha uzi na kuongelea vitu usivyovijua. Natumia s8+ naweka kwenye maji nitakavyo hata nikisikia imechemka naweka kwenye maji inapoa na inapiga mzigo vizuri sana.
 
Usiwe unaanzisha uzi na kuongelea vitu usivyovijua. Natumia s8+ naweka kwenye maji nitakavyo hata nikisikia imechemka naweka kwenye maji inapoa na inapiga mzigo vizuri sana.
[emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86]
 
mkuu hizo simu ulikuwa unaziflash kirahisi tu na Nokia pc suite ila ni za zamani sana siku hizi hazina support, hivyo huwezi tena kutumia pc suite kuflash,

alternative ni kuflash manual, ikiwezekana utafute custom rom angalau uwe up to date na mambo ya kisasa.

software inayotumika sasa inaitwa phoenix

kuzipata rom sasa ndio shughuli, zipo ila nyingi link zimekufa, tafuta tafuta kwenye hii forum

mfano hii
CFW NOKIA 500 RM-750 BELLA ULTIMATE® REFRESH (01/03/2014)

[Nokia 500 - RM 750] Full Refresh Ultimate By Juampy CarLegui & W@lter P. F.

tutorial ya kuflash
Delight Custom Firmwares: How to flash / Phoenix flashing tutorial

delight rom ya nokia 500 (wengi wanaisifia)

Delight Custom Firmwares: 500 Delight v1.1
 
Nashukuru sana mr.
Ubarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…