Hii ni tahadhari kwa msiokuwa na antivirus imara, mkiitembelea tovuti hiyo mtaishia kuzipeleka pc zenu garage. Jihadhari, tovuti ina virus; mwenye kuwa na mawasiliano na owners awafahamishe warekebishe haraka hili
.............Jamani mimi mbona nikifungua hapa naletewa warning ya viruses, kuna nini hapa napo? Hiyo bongo 5 ndio site gani tena?Anyway shukrani kwa taarifa.
Tunapenda kuwafahamisha wote kwamba swala la virus iliisha muda mrefu na sasa bongo5 ina sura mpya. Msisite kuitembelea, na kama ina tatizo yoyote msisite kuwasiliana nasi.

Tuna uhakika 100%, tumehama na kuongeza uwezo wa server pamoja na kubadilisha na kuboresha mfumo mzima wa tovuti. Kwa nini tutake kuharibu PC zenu? Bila nyinyi tovuti halina maana