Haahahahahahaaaaaa! Mnahangaika sanaDongo limekwenda kwa wasira na si mwingine!
Ni kweli kabisa na siku hizi ndani ya CCM kusema ukweli ni kujenga uadui.Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dr Judge Joseph Warioba amesema kwamba yeye ni mwanaCCM wa ukweli tofauti na wengine ambao wako CCM kuchumia tumbo. Alisema hayo akiwa wilayani Bunda akiongea kwenye kongamano lililoandaliwa na asasi ya Fikra Pevu. Dr Warioba alisema kwamba kuna baadhi ya wanaCCM ambao wakiona maslahi yao yapatimii hukimbilia vyama vingine na kisha kurejea tena ndani ya chama huku wakijifanya kuwa na mapenzi ya chama wakati si kweli.
Chanzo: Uhuru
MAONI YANGU
Nakubaliana kabisa na maoni ya Dr Warioba. Kuna wanaCCM kama vile Wassira, Shibuda, Nsasugwanko, Bagenda, Ndobo na Makongoro Nyerere ambao waliikimbia CCM baada ya kuona maslahi yao hayatimii lakini baadaye waliamua kulamba matapishi yao na kurejea tena ndani ya CCM.
:yield:
Ni kweli kabisa na siku hizi ndani ya CCM kusema ukweli ni kujenga uadui.
Tujitahidi kuujenga ukweli ili dhamira zetu ziwe huru.
Tukiweka matakwa yetu binafsi mbeke, hiyo ni recipe ya vurugu huko mbeleni.
....CCM chama cha maslahi bwana....hapo haunidanganyi hata chembe.
Dongo limekwenda kwa wasira na si mwingine!
Sifa kubwa ya kuwa mwana Ccm lazima uwe mwizi lakini Warioba aongozwi na tumbo Kama wana Ccm wengine .Warioba itendee mema nchi yako vizazi na vizazi vitakukumbuka na utakuwa umeweka historia ambayo aitafutika kamwe Big upHatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Buku 7 zinawatesa sana hivi wewe unaga kazi? Au hihi ndo kaziHatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Wacha umbeyaWaryoba anataka kugombea kwa tiketi ya UKAWA.
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Wewe ndo ulimpa?arejeshe kadi ya ccm
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM
Hatuna mtu mwenye akili za kipuuzi ndani ya CCM kama alizonazo Warioba. Arejeshe tu kadi yetu kwa maana amekosa sifa za kuwa mwana CCM