Wana jamvi kama kweli vijana wa uvccm wana hoja na data za kupangua mawe aliyo toa jaji warioba leo itv tuna wataka watokee hadharani wamjibu mzalendo wetu jaji warioba kada wa ccm nguli na mweledi tangu enzi za mwl nyerere;waje jf watoe majibu msimamo wa serikali mbili wanaupata wapi?kwa data zipi walizo kusanya?
Hakuna jipya ni marudio,kama kero alizotaja ni hizo hizo za kila siku ambazo msimamo ni serikali mbili zatosha na kero zote zinashughulikiwa na uzuri jaji warioba ameeleza kuwa kama zinaweza kushughulikiwa basi serikali mbili ni bomba