Mimi ni Mtanzania, nina miaka 56 na hadi sasa sijaona faida hata moja ya muungano. Ulofa tu wa kutaka mtu atukuzwekwa ajiliya upumbavu wake. kaama kuna mwanaJF wa umri wangu aseme yeye kafaidi nini zaidi ya propaganda za kipuuzi za viongozi wetu walafu wa madaraka.