MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Ukawa walialikwa au vile Walioba yupo baasi nawo wawepo? Una hisia kama amezirwa au ukawa hawajamte ndea haki?
Andikia mikono basi!
Wamempa ki unafiki tu
imekaa kitumwa tumwa hii habari yako!wana jf kupitia I.t.v HABARI nimenuona mzee mzima warioba na mengi wamepewa nishani na muheshiwa raisi shupavu jasiri mpenda amani doctR jakaya mrisho kikwete
nilitegemea kuona hata kiongozi mmoja wa UKAWA kutunukiwa nishani...hii imekaaje wana chadema wazee wa GWANDA
HUU SIUPENDELEO HUU
HAAAHAHAHA
KINAFKI kivipi
Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Warioba ametunukiwa Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Kwanza jana tarehe 25 April
View attachment 154100
Na hapa chi ni siku alipokabidhi Rasimu ya pili ya Katiba mwezi Desemba 2013
View attachment 154104
yaani jm kwa kupenda kuuza sura,badala ya kumtazama warioba anayepokea nishani ye anamtazama mpiga picha