Warioba atajwa urais kupitia UKAWA

Warioba atajwa urais kupitia UKAWA

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,870
Reaction score
5,755
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) inadaiwa kuwa unakusudia kumsimamisha Jaji Mstaafu, Joseph Sinde Waryoba kuwania Urais mwaka huu dhidi ya wagombea wa vyama vingine, kikiwemo chama cha Mapinduzi (CCM).

Vyanzo habari kutoka ndani ya UKAWA vimeeleza kwamba uamuzi wa kumsimamisha Jaji Waryoba unazingatia vigezo mbalimbali kikiwemo kuepuka mvutano baina ya vyama hivyo vinne vinavyounda huo umoja juu ya nani awe mgombea wao wa urais .

20150119_085842.jpg

Chanzo: Dira ya Mtanzania
 
Tulishajua toka mwanzo kuwa Warioba ni kibaraka wa UKAWA. Mpaka sasa UKAWA hawana mgombea Proper kwenye nafasi ya urais
 
Sijui kwa nini UMOJA WA VIJANA CCM walimpiga huyu mzee.walaaniwe mtyuu

swissme
 
hapana....katika hili siwaungi mkono

Warioba anafaa katika hilo analofanya sio urais

Hizi ni habari za kuokoteza za magazeti
 
hapana....katika hili siwaungi mkono

Warioba anafaa katika hilo analofanya sio urais

Hizi ni habari za kuokoteza za magazeti

Aende tu chamuhimu aturudishie pesa yetu ya Mwananchi refinary aliyochukua na wabulgaria wake kule BOT
 
Warioba unaogopa nini nenda ukawa inajulikana unao kwenye makubaliano mengi lakini tambua ukawa siyo watu.
 
warioba na ukawa watapata aibu ya mwaka hatuchagui tena Rais mwenye nywele nyeupe tunataka umri wa kati.
 
hiyo itakua a very wrong move aisee, wakimuweka huyu babu nchi hii inarudi CCM kwa zaidi a 80% kura.. bora waweke mtu ambaye ataleta competition kdg
 
Back
Top Bottom