Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,447 Reaction score 4,841 May 19, 2013 #21 Kila mtu mauti itamkuta kwa namna yake Kila tunachotumia kina side effects Tuombe tu rehema na ulinzi wa Mungu kwasababu vimetengenenzwa kwa ajili ya matumizi ya binadamu. Asante kwa taarifa.
Kila mtu mauti itamkuta kwa namna yake Kila tunachotumia kina side effects Tuombe tu rehema na ulinzi wa Mungu kwasababu vimetengenenzwa kwa ajili ya matumizi ya binadamu. Asante kwa taarifa.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,784 Reaction score 109,955 May 19, 2013 #22 Husninyo said: acheni masihara jamani!!! Click to expand... Shemeji huwa unavaaga ile kitu cha helmet ya saluni?
Husninyo said: acheni masihara jamani!!! Click to expand... Shemeji huwa unavaaga ile kitu cha helmet ya saluni?
dada white JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,228 Reaction score 515 May 19, 2013 #23 Kwa hiyo tuanze kunyoa mapanki kama wasabato masalia
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,252 Reaction score 10,497 May 19, 2013 #24 watu8 said: Shemeji huwa unavaaga ile kitu cha helmet ya saluni? Click to expand... navaa shm. ukiskia paaaaa ujue fuvu lishabasti.
watu8 said: Shemeji huwa unavaaga ile kitu cha helmet ya saluni? Click to expand... navaa shm. ukiskia paaaaa ujue fuvu lishabasti.