hivi jamani siku hizi mabinti zetu hawana ubunifu mwingine wa kufanya zaidi ya mashindano ya urembo? yaani inaboa kupita mipaka. kule kulikotokea mashindano ya urembo (nchi za nje) hawana ulimbukeni kama wetu- eti mara miss kitongoji, mara miss temeke, mara miss sharobaro na upuuzi mwingine.mabinti tafuteni ubunifu mwingine, tumewachoka. isitoshe wengi wenu mna mvuto wa kulazimisha. manywele bandia na mikorogo kibao. wengine miguu kama korongo a.k.a spoko za baiskeli.