Warembo wangu

Warembo wangu

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
14,744
Reaction score
46,091
IMG-20130328-WA0010.jpg


wametokelezea aise.
 
Mmoja namfahamu, sijui amefikaje hapa.....
 
kama hawa ndio 'bride maids', wakati wanajishebudua kucheza kwaito lazima bwana harusi hujiulize kama 'hujakosea'....

Mi siwezi kukubali watu kama hawa wawe bride maids kwangu
 
Mi siwezi kukubali watu kama hawa wawe bride maids kwangu

Weeee ushindwe, me nishajiweka kwenye list ya maids wako. Ujikute sasa unanipotezea Kama sijaibuka siku ya harusi na sare yangu. Sema me Si special group lile, so usiogope hata
 
Weeee ushindwe, me nishajiweka kwenye list ya maids wako. Ujikute sasa unanipotezea Kama sijaibuka siku ya harusi na sare yangu. Sema me Si special group lile, so usiogope hata

Kwa vile we special grup mwenzangu hata sina neno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom