Wakuu Niko njia panda baada ya wimbi la warembo kuanza kupagawa na mimi Nina girl wangu nimetoka nae mbali ila tangu nipate kazi mpya namuona si chochote mana workers mates wengi wananishobokea je nifanyaje wakuu mpaka mtaani warembo ni usumbufu tu
Umeonaa Eeh!Sasa kama umependwa baada tu ya kupata kazi, kwa akili yako hujagundua tu hapo imependwa pesa na hujapendwa mtu?
Wimbi la maanti linakuzingua au vipi? basi jifanye umefukuzwa kazi na unawaomba msaada wakuchangie nauli ili urudi kwenu Ukerewe,halafu urudi hapa jukwaani kutupa mrejesho au vipi,maana naona unajitekenya mwenyewe na unacheka mwenyewe.Wakuu,
Niko njia panda baada ya wimbi la warembo kuanza kupagawa na mimi, nina msichana wangu nimetoka nae mbali ila tangu nipate kazi mpya namuona si chochote mana workers mates wengi wananishobokea.
Je nifanyaje wakuu mpaka mtaani warembo ni usumbufu tu
Kumbe wewe ni govi..!
fanya faster utahiriwe maana usipotahiriwa mapema utaathirika kisaikolojia..