Ni baba swalehe au baba jesca? Nijibu nikushauriWakuu Niko njia panda baada ya wimbi la warembo kuanza kupagawa na mimi Nina girl wangu nimetoka nae mbali ila tangu nipate kazi mpya namuona si chochote mana workers mates wengi wananishobokea je nifanyaje wakuu mpaka mtaani warembo ni usumbufu tu
Ndiyo na lazima alishiriki shindano la chipsi mayai jana huyuww ni mvulana wa Dar?