Warembo wa MMU mmekwenda wapi?

Mkuu hii hali yatisha toka juzi napita humu ni holaa tu! Mpk kichwa kimeanza niuma kwa kuwakosa hao viumbe!.. huo uchaguzi wao unatukosti wengi ktk namna tofautitofauti..
Hakika mzee yaan uchaguzi unanifanya ni suffocate kwa kushindwa kuziona neema za mwenyezi mungu
 
Back
Top Bottom