KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,214
- 56,855
Jukwaa limelala natapatapa sioni raia humu! Najua shida internet lakini si Kuna VPN! Au mnatumia mi IOS..😂
Hii inanikwaza kuwakosa usingizi haupiti, sioni hata raha ya mtandao bila nyinyi! Kama ni kuniweza basi hapa wameniweza! Najua hamuwezi kuwa bize na upigaji kura..
Jitahidini mrudi hali mahututi wabunge wa mahaba tutakufa siku si zetu..😂