Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,950
- 33,803
Jana nikiwa maeneo ya mlimani cty,nilimuona msichana moja ambaye umri wake ni kati ya miaka 28 or 30 black beuty fulani mrefu ! akishuko kutoka kwny gari aina ya prado akashuka na kuelekea ndani ya jengo la mlimani cty.Badaye baada ya dakika 5 hivi akarudi alipo kuwa amepaki gari lake akaingia garini kwake badye akashuka akaenda kwa mlinzi akamuomba amwangalizie gari lake ''akampa mlinzi buku ten'' baada ya dakika kama 5 hivi ikaja gari aina ya harrier ktk lile eneo alipo kuwepo ndani kulikua na jamaa fulani hivi, yule msichana akaingia ktk lile gari wakasepa na jamaa!!. Nikajiuliza maswali ktk nafsi yangu
kama huyu ni mke/mchumba/girlfriend wa m2 inamaanisha alimuaga mumewe/mchumba/boyfriend wake anakwenda shopping badala ya shpping kaenda.. Kutupa nyavu sehemu nyngine
Unafikiri kwann ma yake ufoo aliuwawa?
Mhnn...cha ajabu ni nini hapo......
Mkuu pale mlimani city wake za watu wengi ndo zao hizo,siku moja nilishuudia fumanizi la nguvu,jamaa aliingia maduka yote mle ndani,mabenk na ata kule kwenye movies,mkewe aalirudi baada ya masaa matano.
Mhnn...
cha ajabu ni nini hapo......
cha ajabu ni nini hapo......
Hujaona cha ajabu enheeeee.... Isije ikawa aliyeacha prado pale ni wewe ndo maana hujashangaa... Maana mtu kujishangaa mwenyewe ni ngumunini..........
Hujaona cha ajabu enheeeee.... Isije ikawa aliyeacha prado pale ni wewe ndo maana hujashangaa... Maana mtu kujishangaa mwenyewe ni ngumu