mjenzibora
New Member
- Jan 3, 2014
- 4
- 0
Ukienda mtaani mapedezshee ulia kila siku kwamba watoto wazuri wanawasaliti eti kwao wanafata pesa na tamaa za maisha safi upande mwigine uswahilini masharobaro , ma handsome , na wenye swags wanalia eti watoto wazuri wanawakimbia kisa hawana pesa za kuwakidhi sasa swali kwa watoto wazuri woote NYIE MAPENZI yenu ya kweli yapo wapi sielewi,.,,.:angry: