Warembo Humanities UDOM mtanimalizia muwe na huruma na BOOM langu

Sio siri nimetembelea kwenu jana usiku pale Alfa Cafeteria na nilichokiona sikuamini macho yangu kabisa.

Kijana wa INFORMATICS nikajikuta nipo chumba cha mamba wa mapenzi.

Hakika mmeumbika sana

Wewe dada uliyekuwa kwenye foleni ya chips yai mida ya saa 21:20 uliyevaa suruali nyeusi na prova ya damu ya mzee huku ukiwa umesuka rasta na kiuno kilichobenuka kwa nyuma kuashiria kuna kitu kimefichwa sirini kama upo humu naomba maana nakutafuta sana hadi nimekuoa.

Hakika mabinti wako Humanities

Deadbody

Nikitoka TMT class kesho mida ya saa 7 mchana nitarudi tena nikiwa na hela za kutosha
Mkuu ukifika social utazimia hebu ukuje
 
Ulishindwa kum.face hapo hapo mpaka uje kumuanzishia thread huku? Kama hayumo humu? Kweli "wanaume" wanapungua kwa kasi sana, na lazima utakuwa umempigia 'puli' usiku
 
ah,UDOM ilikuwa kipindi hicho bwana..enzi za Old Social...kabla hawajaletwa wale watoto wa Special Diploma!

Social ilikuw patashika,sijui kama wamesharudiha hadhi yake pale social au bado wadogo zetu wanaendelea...yaani Social ndo town ya UDOM watoto classic mbayaaaa

Ahhaaa,umenifanya niwakumbe watoto wazuri waliowahi kuuteka moyo wangu by then Rose (mtoto wa kichaga) na Jane (mtoto wa dar).
 
Sio siri nimetembelea kwenu jana usiku pale Alfa Cafeteria na nilichokiona sikuamini macho yangu kabisa.

Kijana wa INFORMATICS nikajikuta nipo chumba cha mamba wa mapenzi.

Hakika mmeumbika sana

Wewe dada uliyekuwa kwenye foleni ya chips yai mida ya saa 21:20 uliyevaa suruali nyeusi na prova ya damu ya mzee huku ukiwa umesuka rasta na kiuno kilichobenuka kwa nyuma kuashiria kuna kitu kimefichwa sirini kama upo humu naomba maana nakutafuta sana hadi nimekuoa.

Hakika mabinti wako Humanities

Deadbody

Nikitoka TMT class kesho mida ya saa 7 mchana nitarudi tena nikiwa na hela za kutosha
Dogo piga kitabu acha uboya alafu hao boom likikata utawalea ww
 
Dogo piga buku, ao warembo hapo UDOM sisi walitukutapo enzi izo na wala hatukuzuzuka kama ww,,, kumbuka kuna makontena ya mama salma apo na sapu/disco zipo pale pale tena info ndio balaa kwa ku disco na carry, so achana na nyapu zilizooza piga pindi.....
 
Ndio nyie mkimaliza mnakaa kwenye magroup ya Watsap kuinanga serikali kama haitoi ajira!
Endelea kutafunwa hizo pesa Na hao warembo, uone kama hizo papuchi utarudi nazo kwenu!
 
Vijana wenyewe kama hawa siwezi kustaajabu Watanzania kupelekeshwa kama misukule tu.

Nchi za Ulaya, Asia na Amerika vijana wasomi walio vyuoni ni nguzo muhimu sana kwa maendeleo ya taifa husika.

Vijana endeleeni kulala, wenzenu hawalali na nakuhakikishia mtaendelea kuwapokea nchini kwenu wakija kwa mgongo wa wahisani/wadau wa maendeleo/wawakezaji nk. mnaukaribisha ukoloni mamboleo wenyewe!
 
Akikua atawadha zaid katika kusoma na kutafuta maisha... sa iv bado naona akili za u first year zimemkaa kichwan... ije test update 2/20 ndo unajua chuo umefwata nn
 
Back
Top Bottom