Zinduna Mi bado cjawaona kama wanatija sana katika warembo walioko Bara Zinduna nakwambia kama haujawahi kuonaga warembo nakwambia hao toka Zanzibar hebu waambie wapite left kabisaaaa! Nakuomba fanya ziara chap hapa A town na uwaone hawa wadau na unipe majibu;