Warehouse Manager mwenye skills za Mechanics anahitajika

Warehouse Manager mwenye skills za Mechanics anahitajika

Keagan Paul

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
517
Reaction score
3,191
Mahali pa Kazi: Dodoma
Anahitajika Warehouse Manager ambae anazijua Mashine mbalimbali vizuri. Ni warehouse yenye machine equipments nyingi.

Hivyo, anahitajika mtu ambae atasimamia warehouse lakini awe anazijua machines mbalimbali na kuzifunga.

Awe ana fahamu hukusu Warehouse Management (Taratibu za kutoa vitu na kupokea) lakini pia awe anazijua hizo machines.

Tuwasiliane: 0761584652
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom