Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,805
- 1,873
Wakatoliki ndio wameamua kuichafua CCM na CUF, kwa kupitia njia kama hizo.Lugha ya huo waraka ina 'harufu' ya wafitini wa Kanisa Katoliki. Sijawahi kuona Kanisa Katoliki likiandika waraka unaosambazwa kwa maaksofu, mapadre na wachungaji na usio na jina la mwandishi wala publisher. Ni lini Kanisa Katoliki likawa na wachungaji? Ni akina nani hawa? Na mwandishi ni nani: maaskofu, mapadre au wachungaji?
Ila tukinusanusa tutakuja kugundua kwamba walioutunga ni wale wanaousambaza pia!
mawazo yaliyokufa.......... Hivi wewe, waraka wa kanisa utolewe msikitini..........!!!!! waraka hauna sahihi wala jina la mtoaji..........!!!!! still yet in absence of those two items......YOU BILIEVE IT...... grow up BANA acha udini.........Haya ndio mazingira halisi ya nchi yetu. Kwangu si jambo la kushangaza kuusikia waraka kama huo. Na nyingi nyingine zitakuja, kwani tatizo ni kutoka kwa ule waraka wa kwanza wa katoliki.
Kuwa Katoliki liliikumbatia na kutawala kupitia CCM siku za nyuma, ni maelezo yanayojieleza wazi hapa chini. Soma nukuu hii kwa makini.
"Kadhalika waraka huo unaenda mbali na kudai kuwa vyama vya CCM na CUF kwa sasa havifai kwa kanisa kwa kuwa vimekuwa mithili ya mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo, huku ukitahadhariha kuwa Mahakama ya Kadhi na OIC ni hatari kwa Ukristo."
Kama hivi leo havifai, ni lini vilifaa na kwanini?
Hebu angalia mapendekezo ya chama mbadala katika nukuu hapa chini. (Kwa bahati mbaya sijasikia tamko lolote lile juu ya kauli hii toka kwa viongozi wa CHADEMA) lAKINI HASA NI NINI MAANA YAKE?
"Mwelekeo wa kanisa kwa sasa ni kuelekeza nguvu zetu kwa wakristo wote Tanzania kwa chama chetu cha CHADEMA katika uchaguzi ujao ili maslahi ya kanisa yarudi kama zamani,†unadai waraka huo."
Je wewe mwananchi unakubaliana na hilo. Kuwa CHADEMA inamvuto wa kikatoliki si siri.Na ushahidi kamili unajitokeza pale ambapo CHADEMA ina ushirikiano wa moja kwa moja na chama cha CHRISTIAN DEMOCRATIC PARTY (CDU) cha ujerumani. Si hivyo tu bali hata msaada mkubwa wapesa za kampeni huchangiwa toka katika shirikishi la kanisa katoliki la ujerumani na matajiri wa kijerumani wenye mgusu na msimamo mkali wa kikatoliki.
Ni kweli watanzania tunahitaji kukikabidhi madaraka chama chenye maadili ya aina hiyo. Yote tisa lakini ni muhimu tujifunze toka kwa jirani zetu Rwanda, Burundi na hata Kongo.
Mpaka hatujapata vyama mbadala kwa CCM, NI VYEMA KUBAKI NA ZIMWI LIKUJUALO.
mawazo yaliyokufa.......... Hivi wewe, waraka wa kanisa utolewe msikitini..........!!!!! waraka hauna sahihi wala jina la mtoaji..........!!!!! still yet in absence of those two items......YOU BILIEVE IT...... grow up BANA acha udini.........
HIVI ULE WA WAISLAMU SI ULISAINIWA..........???? NA ULE WA WAKATOLIKI SI ULISAINIWA.........???? NA KWA KUSAINIWA WOTE TUKAAMINI KUWA IMETOLEWA NA DINI HIZO..... HALAFU NA HIZO DINI HAZIKUKANA........... KITU GANI KINAKUFANYA UAMINI KUWA HUU USIO NA SAHIHI WALA JINA LA MTOAJI NI WA WAKATOLIKI............. WE UKIAMBIWA TU HUFANYI UCHUNGU NA KUTUMWAGIA DATA UNAAMINI TUUUUUUUU......... KUNA SIKU UTAAMBIWA HUYO UNAYEMWITA BABA SI BABA YAKO HALAFU NALO ULIAMINI BILA KUCHUNGUZA..............!!!!!!!!!!!!!!!
kanisa linatakiwa kuendelea kuelimisha wananchi jinsi gani wataondokana na umasikini kwa kupata watu wasio na choyo. Viongozi wa mifano na siyo Chadema au C.C.M. au udini. Nini ni haki ya Mtanzania?
Acha jazba na njoo tujadili kile kinachotusibu na kile tunachokiamini. Soma hoja zangu nyingine Nomawazo yaliyokufa.......... Hivi wewe, waraka wa kanisa utolewe msikitini..........!!!!! waraka hauna sahihi wala jina la mtoaji..........!!!!! still yet in absence of those two items......YOU BILIEVE IT...... grow up BANA acha udini.........
HIVI ULE WA WAISLAMU SI ULISAINIWA..........???? NA ULE WA WAKATOLIKI SI ULISAINIWA.........???? NA KWA KUSAINIWA WOTE TUKAAMINI KUWA IMETOLEWA NA DINI HIZO..... HALAFU NA HIZO DINI HAZIKUKANA........... KITU GANI KINAKUFANYA UAMINI KUWA HUU USIO NA SAHIHI WALA JINA LA MTOAJI NI WA WAKATOLIKI............. WE UKIAMBIWA TU HUFANYI UCHUNGU NA KUTUMWAGIA DATA UNAAMINI TUUUUUUUU......... KUNA SIKU UTAAMBIWA HUYO UNAYEMWITA BABA SI BABA YAKO HALAFU NALO ULIAMINI BILA KUCHUNGUZA..............!!!!!!!!!!!!!!!
UKISIKIA KITU NA UKAKIKUBALI BILA KUFANYA UCHUNGUZI........ unaonyesha jinsi ambavyo unaendeshwa na hisia...... wenyewe wameukana halafu wewe unasema ni wa kwao.....MWAGA USHAHIDI.......
MWAGA USHAHIDI........
Ushahidi no1: Waraka wao wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wakatae mahakama ya kadhi..na huo wa sasa unasema the same thing kwahiyo in purpose waraka wa zamani na wa sasa ni kitu kilele na source yake ni moja.
Ushahidi no 2: waraka wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wachague viongozi waliolelewa kikristo kwa vyovyote vile maana yake wachague viongozi wakrito, kwakuwa JK (CCM) na Lipumba (CUF) potential presidential candidates ni waislamu ndio maana wanataka wakristo wawachague chadema ambao kuna Mbowe mkristo au Slaa (askofu)
Purpose ya waraka wa mwanzo na purpose ya waraka huu wa sasa ni moja inabaki kuwa kweli wameamua kutafuta namna ya kutokea shame on them.. kukana ni danganya toto...mhalifu gani alishakubali kosa lake...

Tumain, are you for real ? Because if you are, then the mystery is solved. This is exactly the way the real originators of the so called waraka would have wanted people like you to reason. Now the fact that you are following their line of thought to the letter explains a lot about the people behind it. They share with you one thing in common and that is the determination to come to the defence of JK at all cost - but sorry it wont work - not this time. It is a move that is just plain childish and dumb - the man occupying Ikulu is inept, period.
wewe acha upotoshaji, inaoneka hata waraka wenyewe hukusoma, kama ulisoma unamatatizo. Jamaa ninyi mnamatatizo sana, mnaleta matatizo dunia nzima, wala hamleti amani, hamuoni kama mnamatatizo ninyi? achana na upotoshaji, hausaidii bali unabomoa.
Ushahidi no1: Waraka wao wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wakatae mahakama ya kadhi..na huo wa sasa unasema the same thing kwahiyo in purpose waraka wa zamani na wa sasa ni kitu kilele na source yake ni moja.
Ushahidi no 2: waraka wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wachague viongozi waliolelewa kikristo kwa vyovyote vile maana yake wachague viongozi wakrito, kwakuwa JK (CCM) na Lipumba (CUF) potential presidential candidates ni waislamu ndio maana wanataka wakristo wawachague chadema ambao kuna Mbowe mkristo au Slaa (askofu)
Purpose ya waraka wa mwanzo na purpose ya waraka huu wa sasa ni moja inabaki kuwa kweli wameamua kutafuta namna ya kutokea shame on them.. kukana ni danganya toto...mhalifu gani alishakubali kosa lake...
KWELI WATANZANIA TUNAPENDA KUPOTEA
Watanzania wenzangu muda huu tunapoendelea kulumbana juu ya nani anamtaka wa dini gani, nani ni hatari kwa dini ipi.... na kuendelea kuzalisha chuki dhidi ya wenyewe kwa wenyewe wenzetu ndio wanapata fursa nzuri ya kuendelea kunyonya raslimali zetu kwa maslahi ya nchi zao.
Tangu lini dini ya mtu ikahusiana na maendeleo ya nchi.....je China ni nchi ya kidini? wao ni wakristo ? au ni waislamu? je wameangaika na nyaraka za kidini kuleta maendeleo yao? but look at what they have today THE MOST RESPECTED HIGH POPULATION WITH SUFFICIENT PURCHASING POWER. Wana sufficient internal market as well as external market share. Waangalie Europe wako busy kuunganisha nguvu zao mpaka wana sarafu moja, wamerahisisha milango ya biashara kati yao, nchi kama uturuki ambayo ni ya kiislamu imeona vema kujiunga na umoja huo kwa maslahi ya kiuchumi ya nchi. Wanachoongelea kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi ni maendeleo.
Waangalie India -the Most qualitative high population of hardworkers who are least priced. Hawa wamekuwa kimbilio la Dunia nzima hasa International Corporations( kwa mfano Microsoft) kwa ajili ya kuajiri. Angalia jinsi wanavyoitetemesha dunia. Je vyombo vyao vya habari, viongozi wao wa kisiasa na kidini na wananchi kwa ujumla wana-accomodate mashindano ya kidini kana kwamba ndio msingi wa maendeleo?
Nikimkumbuka Baba wa Taifa ambaye japo amekwishaondoka duniani lakini yuko hai kuliko viongozi wengi tulionao alishatuonyesha kuwa udini, ukabila na ubaguzi mwingine ni ishara ya kuwa anayeutumia ni mbovu na hana namna nyingine ya kuthibitisha uwezo wake ili kustahili kuchaguliwa.
Hivi why don't we think about the future of this country and our share in the worlds economic bread in this current age of dot com generation, China Superpower, India emerge, European Union, Euro, G8, G20,Environment concerns, Gender sensitivity, HIV AIDS, Alternative energy sources, military and intelligency cooperations, World market Scrumble, Black US President, Money Laundering, Terrorism, Drug Abuse, Nuclear power struggle, Oil Explorations in Uganda , Rwanda and Burundi Recoveries, Scrumble and Pertition of Congo by almost the whole world, World Cup in South Africa and so many issues. Mind you these issues have a lot to do with the future of our country in 5, 10, 20 50, 100, 1000 years to come. We should not be so selfish to only think about our selves and lose the future of our children, grand children etc etc.......
We need leaders who think at least within the perimeters of the above para.. Who would merge the above issues of the current world to the resources we have...minerals, lakes, Ocean, Mountains, Kiswahili, National Parks, rivers, islands, Naturally fertile Soil, Land, Harmony and somekind of peace, a little non-tribalism, non-extreme weather..politeness of Tanzanians e.t.c and the result should be to utilize opportunities available to benefit our country Tanzania.
With UDINI HUU...Hatufiki kokote.... na Image yetu itakuwa nchi ya waendekeza udini, wauaji wa maalbino, wamalizikao kwa ukimwi, wanyanyasaji kijinsia, wavivu, wauzao nchi yao kwa wageni kwa maslahi binafsi( ili anko aende shule marekani)...
Ngoja niwaeleze ni kwa kusudi gani hawa wanaoendekeza udini huwa wanagombea. Niliyoandika hapo juu... hawataki hata kuyasikia au kuyaelewa.. sababu kubwa kwao ni kugombea ili wanapoingia madarakani wapate ULAJI..... ili wanunue mashamba, viwanja na Majumba kwa ajili ya familia zao kwa kupitia kusaini mikataba kipuuzi ya kuuza nchi yetu kwa wageni, Ufisadi wa kuua mashirika yetu kwa kuyauza kwa wahujumu wa nchi yetu bila kujali kwa kuwa wanajua madhara yatakapotokea watakuwa hawapo duniani...kwa sababu ya uendekezaji wao wa ngono, kuoa wake wapya kila mwezi maana pesa ya ufisadi ipo, kununua magari ya kifahari kwa pesa wanazoiibia serikali....yaani ni wataalamu wa misheni Town zinazoua nchi hii.
Sasa matapeli mafisadi hawa inapofika wakati wa uchaguzi hawana cha kujitetea kwa wananchi zaidi ya kuanzisha propaganda za kishenzi ili kufunika ukweli wa mambo. Haya ya kushutumiana watanzania na kushambuliana KIDINI NI PROPAGANDA TU ZA KISHENZI.
TUNATAKA MAENDELEO YA KWELI YA NCHI YETU...ACHENI UPUMBAVU...KAMA UNA ISHU ZAKO ZA KIDINI AU DINI YAKO IMO HATARINI SI UONGEE NA MUNGU WA DINI YAKO ASHUGHULIKE. KWA NINI UAMUE KUWA SIASA NDIO KITABU KITAKATIFU AU KITUKUFU CHA DINI YAKO.
MNATUCHANGANYA....TUONDOLEENI UPUMBAVU HUU. TUNATAKA MAENDELEO. HIZO NYARAKA ZIWE ZIMETOKA WAPI AU WAPI SIYO JAMBO LA MSINGI KWETU NA HAIONGEZI KIPATO CHA SISI WANYONGE.
KWENDENI ZENU!!!!!!!!!!!!!!!
akashube-Mtu wa Mungu
Hujui usemelo. Rudi nyuma na usome hoja za wenzako pale nilipoandika kuwa waraka ule ungawiwa makanisani.Waraka wa Wakatoliki unagawiwa makanisani na unauzwa kwenye Catholic bookshops. Unaogawiwa msikitini umetokea hukohuko msikitini.
Hii nyundo imetua utosini. Walidai ushahidi wamepata, na nawaona jinsi wanavyopata kigugmizi cha ukubwani.Ushahidi no1: Waraka wao wa mwanzo ulikuwa unawaomba wakristo wakatae mahakama ya kadhi..na huo wa sasa unasema the same thing kwahiyo in purpose waraka wa zamani na wa sasa ni kitu kilele na source yake ni moja.