Waraka wangu kwa Madaktari!!


Mkuu,


Mgomo siyo lelemama na ndiyo maana watanzania wengi wanauogopa kama ukoma. Hata hivyo, mkiwa na viongozi wazuri sana, mtaondoka kwenye mgomo wote mkiwa salama!! Haya tulishayafanya mara kibao na tunajua calculations zake!!

Kwa mfano, hatua ya viongozi wa Madkatari kutaka serikali iiweke commitment kwa maandishi kuwa hawataanza kuvictimize mtu yeyote ni muhimu sana. Ila wakikubali kusabaratika sasa hivi basi muda si mrefu watajuta kwa nini waliingia kwenye mgomo.

Hii ni hatua ambayo atakayegeuka nyuma atabadilika na kuwa jiwe. Kwani hadi sasa watarudi kazini wakiwa wamefanikiwa katika jambo gani??
 
Reactions: BAK
Mi nawashauri Madoctor watafute majimbo wagombee may be watapata Tshs 3.5m kwa mwezi na maposhoz kibao!!
 

Mkuu DC ndio maana mimi naona kuna umuhimu mkubwa wa kuendelea na mgomo wao.
 
Mkigoma woote hawana ujanja wowote, watawapigia magoti 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…