bakwata ni nini?
Kumbe Hayati Nyerere alifanya kosa kubwa kutaifisha shule za wakristo............Nashauri Kanisa Katoliki lidai kurudishiwa shule zake zilizoporwa na Serikali-Ndanda. Umbwe, Weruweru girls, Pugu, Tabora boys and girls, na nyinginezo. Ndio dawa tu ya kurudisha heshima. BAKWATA wakajenge za kwao.
"...ACHENI KUTUDHALILISHA NA KUTUNYANYASA WANAFUNZI WA KIISLAM MASHULENI NA MAVYUONI SASA BASI INATOSHA TUNAOMBA WAISLAM WOTE NA WAPENDA AMANI WOTE MTUUNGE MKONO KATIKA MAANDAMANO HAYA YA AMANI...."
Shida ninayoipata mimi nisomapo au kuwasikiliza wenzangu waislamu wa SIKU HIZI ni wao ku-generalize issues! mwanafunzi mmoja wa kiislamu akawa na ugomvi na mwenzie, na ikatokea bahati mbaya akatolewa tusi, basi kama mwenzie ni mkristo basi inachukuliwa wakristo wote wamewatukana waislamu. MIMI Tangu zamani nimeishi na waislamu, tumekula tumekunywa na kucheza nao, tumegombana na hata kupigana kama watoto- hatukuona huo udini baina yetu. Na leo tunaendelea kuishi nao. Lakini leo hii akikukosea mwislamu inabidi uwe mwakini usije ukatoa tusi- mfano ukimtukana 'nguruwe' unaweza kutafisiriwa umetukana dini! Haya Mambo ni FITINA tu- Hamna MOU kama mnavyodai, ila kuna mashauriano jinsi ya kujilinda na wenye siasa kali, wenye kujilipua na bahati mbaya hawa wamekuwa na mwelekeo wa dini ya kiislamu- lakini hatusemi Islamu inawatuma vijana wafanye haya.
Kama Mkristo na mwalimu napata changamoto nyingi sana baada ya huu mlipuko wa kulaumiana. Kuna siku kidogo nipoteze sifa zangu kwa jambo ambalo sikulishtukia. Nilipelekwa kusimamia mitihani. Wanafunzi wote isipokuwa mmoja niliweza kuwatambua kwa vitambulisho- na wawili hawakuwa wanafunzi - walikuwa ni mabandia walioajiriwa kuja kuwafanyia wenzao mtihani. Huyu mmoja nilimwomba afungue uso wake ili niweze kumtambua- alikataa, nikamsihi akakataa! Mwanafunzi mmoja mwenye busara tena Mkristo alinisogelea na kunitafadhalisha nimruhusu tu- na kunihakikishia anamfahamu. Mimi nilidhani alikuwa ananikatalia nisimtambue kama ni mdanganyifu! Sasa kweli Hijabu lakini udanganyifu ni mwingi! Tufanye nini ili tuweze kuendelea na shule bila kuwa na wasiwasi wa kudanganywa. Ndugu zangu Waislamu mnapaswa mtufundishe jinsi ya kupambana na matatizo ya kileo katika dunia hii wakati mmeficha nyuso za kina dada! Ni nini wahenga wa uislamu walilenga kutaka vazi kama hilo? Je uislamu haubadiliki! Naam kweli enzi zile ukiacha matatizo ya uzinzi na matamanio, hapakuwepo na mambao ya kina dada kwenda shule. Je inawezekana leo - nakumbuka kile kitabu cha 'Is it Possible" hata Masai wameona sababu ya kuacha mikuki na sime ili wakumbatie kalamu( pengine huu mfano sio mzuri- nisameheni tu- kama napotosha- sio nia na haitakuwa hata siku moja kudharau imani ya mwenzangu!)
Lakin swala za ijumaa na ijumaa pili zinakuwa kama kawaida.
Nakumbuka Ruvu tulivyokuwa tunaswali kule vibwende au kwa babu. na siku ya ijumaa Mlandizi town.
Nashauri Kanisa Katoliki lidai kurudishiwa shule zake zilizoporwa na Serikali-Ndanda. Umbwe, Weruweru girls, Pugu, Tabora boys and girls, na nyinginezo. Ndio dawa tu ya kurudisha heshima. BAKWATA wakajenge za kwao.
naomba nikueleze ndugu yangu kuhusu ratiba ya shule
siku ya ijumaa ratiba inaisha saa sita kwa wanafunzi wanaoingia asubuhi aidha kwa wale wanaoingia mchana ratiba itaanza saa nane ili watu waende kusoma katika uwo muda ambao ni free na vpindi vya dini vinatakiwa viwe muda wowote au siku yoyote tofauti muda wa sala elekezi nilioutaja juu tuache kuna haja ya hawa walimu kubadilisha ratiba yao ili watu wakaswali hebu fikiri kwa nini serikali kupitia raisi wa awmu ya tatu mh b w mkapa aliamua siku ya ijumaa vpindi viishe saa sita na nusu ili watu waende kuswali na wanfunzi wa kike waruhusiwe kuvaa hijabu na sio kwa waislamu tuu vipindi vinaisha kwa shule nzima bila ubaguzi na sio kwa ajili ya kipindi cha dini ..........tafakari
Tatizo la wanafunzu waislamu ni wengi wao kuwa wakorofi kwa kisingizio cha dini
1.mimi nikiwa shule serikali moshi hawa jamaa walipewa nyumba waliyotumia kama msikiti but wakawa hawaendi darasani,hawaendi paredi wanakaa tu msikitini kwa kujua kwa waalimu wakristo hawataweza kwenda kuwakurupusha huko.
2.Imagine wewe ni mwalimu unafundisha and then mtu anachomoka darasani saa sita anakwenda kuswali je tutakua tunafuata ratiba za masomo au ratiba za swala tano?
3.Shule zote zilizokua za kanisa zina miundombinu ya kikisto kwahiyo wasilazimishe misikiti kujengwa ndanda being one of them.
JENGENI SHULE ZENU NI MISIKITI MUWEKE NO ONE WILL ASK YOU
Haya yote yanasababishwa na joka kuu linaloendekeza udini JK
kweli ndugu zetu wanapotosha umma kwa kusema eti lyamungo kuna kanisa, si kweli mimi nimesoma umbwe jilani zetu lyamungo najua ile shule.umbwe ni kweli kuna kanisa tena zuri sana wakoloni waliumiza kichwa kulijenga:embarassed2::embarassed2:acheni uongo, mimi nimesoma lyamungo, hakuna kanisa wanafunzi wanasali kwenye vyumba vya madarasa, na wanafunzi wa kiislam pia wana sehem yao kwenye chumba cha darasa, hakuna kanisa wala msikiti, kuhusu hizo nyingine kama umbwe na pugu, mtambue hizi zilikuwa ni shule za kanisa, so makanisa yalijengwa tangu enzi za ukoloni, mngewaambia walioleta dini yenu, yaani waarabu nao wajenge misikiti wala kusingekuwa na tabu.
Nafikiri ndugu yangu kuna mambo mawili unayachanganya hapo.
Mosi, Muda wa kuswali
Pili, vipindi vya dini.
Kumbuka hivi vyote viwili ni muhimu kwa kila mwanafunzi kuweza kuhudhuria. Haiwezekani kabisa muda wa swala ukawa ni muda wa kipindi cha dini. Kwani swala ni kitu kingine na Kipindi cha dini ni kitu kingine. Lazima ratiba zenu zitenganishe hayo na kutoa fursa kwa wote kuhudhuria vipindi vyote vya swala na vipindi vya dini.
kweli ndugu zetu wanapotosha umma kwa kusema eti lyamungo kuna kanisa, si kweli mimi nimesoma umbwe jilani zetu lyamungo najua ile shule.umbwe ni kweli kuna kanisa tena zuri sana wakoloni waliumiza kichwa kulijenga:embarassed2::embarassed2:
Nina wasiwasi na uwezo wako wakuchambua mambo kisomi, umekuwa unajinasibu kama msomi wa PhD, lakini huonyeshi kabisa uwezo wa mwenye elimu hiyo katika kuchambua mambo. Hao vijana unaowashabikia ni waleta fujo na vurugu mashuleni kwa kisingizio cha uisilam. Wanafunzi waislamu wa Ndanda waliofukuzwa kwa kuhatarisha amani shuleni hapo walipewa nafasi kisheria kukata rufaa dhidi ya hukumu waliyopewa, wao badala yake wanashindwa kufanya hivyo nakukimbilia kwenye vyombo vya habari. Barubaru, uislamu sio kufanya fujo na kuchochea chuki dhidi ya watu wengine kama unavyofanya wewe na shetani mwenzako Mohamedi said. Mungu wenu hawezi kuwa dhaifu kiasi cha kusubiri utetezi wenu dhaifu usio na maana. Amani ni tunu adimu lakini ninyi kwa ubinafsi wenu mnataka kuiharibu washenzi wakubwa!Heko vijana wa Kiislam kumbukeni mnatakiwa kuiondoa dhulma hiyo kwa mikono yenu na sio kuchukia moyoni. Kwani hiyo ni imani dhwaifu kwenu.
Mola yu pamoja nanyi na sisi sote tupo pamoja kwa hilo kwani hiyo ni haki yake sio tu kisheria bali hata kibin'Adam.
Kudai haki ni wajibu kwa sote. Haki haiombwi bali unadai.
Ilboru kuna Kanisa. Na waisilam wamepewa darasa wanalituia kama msikiti.
Ni ujinga wa namna hii ndio unaowafanya mnakuwa nyuma kitaaluma halafu mnasema mnasahihishiwa vibaya mitihani yenu. Mara zote, kwenye shule zote kumekuwa na tatizo la walimu kushindwa kumaliza syllabus achilia mbali kufanya revision ambayo pia ni muhimu. Sasa wewe mwenye akili sana, unashauri kuwe na muda wa msikitini na bado upatikane muda mwingine wa vipindi vya dini! Kwa mtindo huu hiyo syllabus inakwisha au shwari tu hata ikiishia katikati kama Masjid Kuba na Al Haramain?
Hebu kuweni na akili za kimaendeleo, academic discipline ni very serious issue na inadetermine matokeo ya mwanafunzi darasani. Hivi mmeshawahi kujiuliza kama ingekuwaje endapo kila mtu angekuwa na mawazo kama yenu?
Wakati wenye kupenda shule wapo tuition, nyie mpo madrassa au kwenye mihadhara lkn siku ya kusahihisha mitihani, inamlazimu msahihishaji abalansishe matokeo ili waislamu wafurahi, au? Safari yenu ndefu sana.
Unajua kisa cha viwanda vya waarabu kuendeshwa na wazungu? = akili kama hizi zako. Ndio maana BP anaongoza kwa uzalishaji wa mafuta, japo si yake ni ya Saudia.
Kama kila kitu anachofanya muislamu wakati wowote, yaani saa 24 za siku ni ibada basi kuna tatizo kubwa katika kuitafsiri dini hii!