mbona hata chadema imetoa waraka kwa wabunge wote kutoa elimu ya mambo yanayotakiwa kuwepo mfano mwezi february mbunge viti maalum chadema mkoa wa singida dada yake tundu lisu aliendesha kikao cha semina hotel ya aqua kuanzia saa 3 asubuhi na kuwapa wajumbe 5000 ya nauli kila mjumbe! dr slaa ccm wanahaki yakuwa na mkakati kama ninyi chadema mnavyo fanya!
Kwa hyo yale yote alyokua anattambia 'Baba Rzwan' n danganya toto?Mara hii keshaenda ktugeuka na kuonesha true kala yake...?Chama chao chenyewe hakna registration...
mzee kweli ni mnafiki , chekeleeni2 kauli zake na uzushi wake ipo cku nchi hii itakuwa damu.
sisi watanzania tunamkubali kama mkomboz wetu
Mwenzako TUNTEMEKE alikuja na hoja isiyo na data sasa anaugulia ban. Shauri yako
Acha kutujazia server hapa! Ukiusoma utatusaidia nini Benno? Mbona ya rada, Kiwira coal Mine na EPA yako wazi hamjachukua hatua yoyote nyie magamba msiyo na uchungu na nchi hii?
Uwenda wana subiri CCM wakanushe jambo hili ndiyo walaka huo utolewe, upo hapo mkuu!Hata kama source ni ITV kwani Dr. Hana copy, si unascann tuu na kuweka basi. Source is not an issue, tunataka kuusoma huo waraka.
Kwani CHADEMA mna uchungu na nchi hii? kama mnao, mmeshafanya kitu gani kwa ajili ya kulinusuru hili taifa toka lindi la umaskini?.
Kwani CHADEMA mna uchungu na nchi hii? kama mnao, mmeshafanya kitu gani kwa ajili ya kulinusuru hili taifa toka lindi la umaskini?.
"Wasiosoma ni chakula cha wasomi".
Kama nchi hii itaingia katika umwagaji wa damu si kwa sababu ya Dr. Slaa ni kwa sababu yenu nyinyi magamba ambaye hata kama hampendwi manalazimisha pia mnataka katiba ipite kinyemela kitu ambacho watanzania hatuko tayari kukivumilia sasa kama hilo litasababisha umwagaji wa damu, narudia tena si Dr. Slaa ni NYINYImzee kweli ni mnafiki , chekeleeni2 kauli zake na uzushi wake ipo cku nchi hii itakuwa damu.
Wakuu wekeni huo waraka wa siri tuone ili tujadili zaidi ya hapo tunakuwa tujadili upepo tu.
Mbona hueleweki mkuu? Hiyo nukuu yako haieleweki. Unamaanisha kuwa cdm ni wasomi wanaokula wasiosoma? Au unahalalisha ujinga wa viongoz wetu wa kujifanya wamesoma kwa ajili ya kuwala watz? Km ndivyo tumewas2kia
Wakuu wekeni huo waraka wa siri tuone ili tujadili zaidi ya hapo tunakuwa tujadili upepo tu.
Bahati mbaya sina Scanner ningewarushia. Anyway njoo kesho CHADEMA makao makuu ntakupa copy!
siku hizi kuna mitandao kufika ni sekunde tu...umiza kichwa kufikiriYaani mpaka Chadema Makao Makuu ndio unapatikana kumbe hata huko Shinyanga Slaa aliposemea bado hawajauona mpaka waje Chadema Makao Makuu.
JF inatembelewa na watu wengi sehemu tofauti tofauti ndani ya nchi na nje ya nchi.
Unadhani hawa watu wakitaka kuona huo waraka wa siri mpaka waje Dar.
mkuu mbona source umeambiwa ni ITV sasa nini cha zaidi unataka?
@ritz: Washawishi CCM wakanushe tuhuma hiziWakuu wekeni huo waraka wa siri tuone ili tujadili zaidi ya hapo tunakuwa tujadili upepo tu.
Uwenda wana subiri CCM wakanushe jambo hili ndiyo walaka huo utolewe, upo hapo mkuu!
siku hizi kuna mitandao kufika ni sekunde tu...umiza kichwa kufikiri
Idiotism thinking.Yaani mpaka Chadema Makao Makuu ndio unapatikana kumbe hata huko Shinyanga Slaa aliposemea bado hawajauona mpaka waje Chadema Makao Makuu.
JF inatembelewa na watu wengi sehemu tofauti tofauti ndani ya nchi na nje ya nchi.
Unadhani hawa watu wakitaka kuona huo waraka wa siri mpaka waje Dar.